Ungesema viongozi bora wachaguliwe ungeonekana wa maana ila kwasasa hauna utofauti na huyo Doto...huko Bukombe walipowachagua viongozi kutokana na u-chama ndo shida imeongezekaYuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.