Dkt. Biteko: Matumizi ya umeme Dar na Pwani ni zaidi ya nusu ya matumizi ya umeme Tanzania nzima

Kuna wind turbines moja tu inazalisha MW 10. Maana yake moja ingetosha mkoa mzima, hehehee. Hao Ruvuma wangeweza kujengewa ka hydro plant kam MW 10 na kusahau tatizo la umeme. Tatizo la nchi hii ni ujinga wa kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…