Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko
Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake ya viongozi wa dini, kuruhusu mikutano ya hadhara pamoja na kuanzisha 4R’s yaani maridhiano, kuheshimiana, kujenga upya na kustahimiliana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Biteko amesema hayo leo Mei 25, 2025 jijini Mwanza aliposhiriki ibada ya maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Kikristu Tanzania - CCT Kitaifa iliyofanyika KKKT Ushirika wa Ebenezer - Pasiansi.