Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anakubalika aliwahi kufanya nini na wapi?Huyu jamaa angejua anavyokubalika kanda ya ziwa asingejiweka sana huo upande
😃😃😀😂😆"Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko
Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake ya viongozi wa dini, kuruhusu mikutano ya hadhara pamoja na kuanzisha 4R’s yaani maridhiano, kuheshimiana, kujenga upya na kustahimiliana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Biteko amesema hayo leo Mei 25, 2025 jijini Mwanza aliposhiriki ibada ya maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Kikristu Tanzania - CCT Kitaifa iliyofanyika KKKT Ushirika wa Ebenezer - Pasiansi.
milango ya nini, sijaelewa hapo, ya majadiliano kwa ajili ya chadema kurudi kwenye uchaguzi na tundu lisu kuachiwa huru, au ni pamoja na milango ya kushughulika na kikundi cha utekaji na uuaji na kuwarudisha kina mdude nyangali na wengine wakiwa hai? mioyo ya watanzania ina vidonda inavuja damu za maumivu kwa ajili ya matukio kama hayo. hatukuzoea kuishi namna hii."Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko
Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake ya viongozi wa dini, kuruhusu mikutano ya hadhara pamoja na kuanzisha 4R’s yaani maridhiano, kuheshimiana, kujenga upya na kustahimiliana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Biteko amesema hayo leo Mei 25, 2025 jijini Mwanza aliposhiriki ibada ya maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Kikristu Tanzania - CCT Kitaifa iliyofanyika KKKT Ushirika wa Ebenezer - Pasiansi.
wakipata madaraka huwa wanajisahau kuwa wameweka pale na wananchi na kwamba kiburi cha pesa, madaraka na vinono vinatokana na pesa za wananchi, sio zao.Anataka kufuatwa badala ya kufata watu. Kama unaongoza watu lazima uwafuate ujue wana shida gani?
Bukombe hata wapinzani hawasemi vibaya kama wenzakeAnakubalika aliwahi kufanya nini na wapi?
Labda baada ya kupiga Viongozi wa Dini kuteka na kupoteza Watanzania pamoja kuamuru majirani zetu wabakwe na kulawitiwa.Tangu lini aliyataka hayo?
Hata namna alivyopata ubunge 2020 ilikuwa Aibu sana! hatujasahau, na nakuhakikishia iko siku atalipa tu, kanda ya ziwa naijuaLabda baada ya kupiga Viongozi wa Dini kuteka na kupoteza Watanzania pamoja kuamuru majirani zetu wabakwe na kulawitiwa.
Tulia wewe boya.Hata namna alivyopata ubunge 2020 ilikuwa Aibu sana! hatujasahau, na nakuhakikishia iko siku atalipa tu, kanda ya ziwa naijua
Jitihada zipi?"Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko
Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake ya viongozi wa dini, kuruhusu mikutano ya hadhara pamoja na kuanzisha 4R’s yaani maridhiano, kuheshimiana, kujenga upya na kustahimiliana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Biteko amesema hayo leo Mei 25, 2025 jijini Mwanza aliposhiriki ibada ya maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Kikristu Tanzania - CCT Kitaifa iliyofanyika KKKT Ushirika wa Ebenezer - Pasiansi.
Atakuwa anamaanisha wale chawa wakeTangu lini aliyataka hayo?