Dkt. Biteko: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anachotaka ni Watanzania watoke kwenye umaskini

Mama anasema wale wezi wa mali ya umma watupishe nikajua hayuko serious, wezi hawapaswi kupisha wanapaswa kuwa jela
Hawa ni kina nani? Nikajua na wewe umekula Rushwa Sasa unaleta ushuhuda kumbe unaongea za kuambiwa 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…