Dkt. Biteko: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anachotaka ni Watanzania watoke kwenye umaskini

Umasikini hauwezi kuisha kwa matamshi au kwa kuwa Rais anataka iwe hivyo.
Serikali hii haina nia wala uwezo wa kukuza uchumi wa watanganyika
 
Dkt Dkt Dkt upuuzi mtupu.

Tatizo pia watanzania wenyewe hata ukiwauliza kama wanaishi kwenye umasikini hawana habari, hawaelewi lolote.

Ndiyo maana viongozi wanafikia sehemu wanawaita nyumbu.

Ukitembelea sehemu za mijini au mashambani umasikini ni hatari sana unadhalilisha watu wetu.

1. Asikuambie mtu kila inapoitwa leo mamilioni ya wanaume, wanawake na watoto hapa Tanzania bado wanatembea distance ndefu kufuta maji. Sasa hayo maji yenyewe ni shida. Hayafai kutumika hata matumizi yakuoshea vyombo vya jikoni achilia mbali kunywa hayo maji. Mnadanganywa sana mnapoambiwa tatizo la maji linatatuliwa.

2. Hapa Tz watu wengi bado wanalala njaa. Yep, kipato duni, akili zimechoka plus fix za wanaojiita viongozi taratibu lakini kwa hakika wananchi wanageuka mazombi kwasababu ya umasikini.

3. Wanafunzi bado wanasoma zaidi 70-90 kwenye darasa moja, wanatumia nyenzo mbovu mbovu halafu wanafundishwa na untrained teachers. Watoto wetu wanavaa uniforims zina viraka ni hiyo moja tu kuanzia january hadi december.

4. Umeme ni shida kubwa. Inasikitisha kama kawaida wananchi wanapigwa fix wanatulizwa na wao wanashangilia kama zombies. Ni kama wamepigwa na spell.

5. Bado watu wanakufa kwa magojwa yanayotibika kabisa. Mara utasikia magojwa yakubarisha, mara TB etc, haya magonjwa yanatibika lakini Tz mediacal facilities are non existent.

Hapa Tanzania kuna sehemu toka nchi haijapata uhuru hadi leo hakuna hospitali.

Tunafanya nini sasa?

Danganyikans inabidi tujifunze kuwaza logically hiyo itasaidia kuona ukweli pale mnapopigwa fix na hao madokta wachumia tumbo au wasiofahamu sana kwanini wapo hapo walipo.

Shenzi kabisa.
 
Alaa kumbe ulitarajia shida ambazo zimeshindikana Kwa miaka 60 plus Samia azimalize Kwa miaka 3 au?

Samia amefanya kazi kubwa kushinda watangulizi wake kwenye sekta zote za Uchumi
 
Na ujinga wenyewe ndiyo unaanzia hapo.

Wote tunafahamu Tanzania imeongozwa na chama chakijinga sana CCM zaidi ya miaka 50.

Ndani ya miaka hii 50 imeshindwa kutoa hata huduma za kawaida kabisa za kijamii kama maji safi na salama, barabara, achilia mbali afya elimu na umeme.

Sababu hizo pekee zinatosha kuwapa sababu wananchi kuifurusha madarakani serikali yakijuha namna hii haijalishi inaongozwa na Samia au Nyerere.

Na hii siku inakuja.

Inatia aibu hadi leo Arusha umeme unakatwa asubuhi unarudi usiku. Ushenzi ushenzi tu.
 
Mada ni Samia hayo mengine ya Vyama Yana wakati wake.
 
Basi mjadili mkeo.Samia ni Rais wako lazima umjadili upende au usipende
Mada ni umasikini wa watanzania na kwanamna gani hali zao zinakuwa bora zaidi.

Na moja ya njia ya kweli kutoka kweny mkwamo watanzania wanapitia ni kukataa hila na fix za majizi wasioweza kazi wakiongozwa na serikali ya CCM

Bisha niweke picha zako ukiliwa 0.
 
Back
Top Bottom