PreGE2025 Dkt Bravious Kahyoza: Siyo sahihi kabisa wabunge wetu kujua kusoma na kuandika tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

KiTanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2025
Posts
210
Reaction score
126
Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa,

Soma pia hii
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tukiruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa.

Musukuma anayemiliki billions in cash na mali za mabilioni ndio ashindwe kuelewa concept za mada za bunge? Hao wasomi wana nini cha kumshinda Musukuma au Kishimba? Hao wanakupa tafsiri ya uchumi kwa lugha ya mtaani, lugha ya saiti. Hawana theory nyiingi na vingereza vya kuombea maji.

Mtoa mada ukimpa hata mradi wa kufuga bata, kesho unakufa
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tuliruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa
Acha kutetea ujinga wewe Mbowe ni Fm6 unasaje hana elimu
 
Hicho kigezo ni kibovu sana,me huwa nawaza hivi wabunge wa std7 serikali ikileta miswada ya shetia bungeni hawa wenzangu na mm huwa wanavichambuaje vifungu vya sheria vinvyopendekezwa??hasa kwa kwa kuzingatia miswaada yote huwa inawasilishwa kwa lugha ya kigeni iliyokomaa,huwa nawaza sana,matokeo yake ni bunge kutuletea sheria katili na kandamizi bila kutaraji,ifike mahali kigezo cha elimu kitumike ili kupata wabunge madhubuti.Ambao hata wakibolonga tutawalaum kwa kushindwa kuwawakilisha vyema wananchi waliowachagua.
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tukiruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa
Unajua sababu ya hao watu kuwapo bungeni? 1970s class 7 ilikuwa ni moja ya elimu kubwa, na wasomi hawakuwapo wengi.
Lakin miaka imebadilika wasomi ni wengi kuliko class 7, bunge halipo kubeba watu dhaifu wanaoleta mizaha sababu ya elimu zao

Jamii ya sasa ina mahitaji tofauti, bunge si kabila lisibadilike, mabadiliko yaendane na mahitaji ya jamii mpya na kizaz kipya

Ambacho ni cha wasomi
 
Hicho kigezo ni kibovu sana,me huwa nawaza hivi wabunge wa std7 serikali ikileta miswada ya shetia bungeni hawa wenzangu na mm huwa wanavichambuaje vifungu vya sheria vinvyopendekezwa??hasa kwa kwa kuzingatia miswaada yote huwa inawasilishwa kwa lugha ya kigeni iliyokomaa,huwa nawaza sana,matokeo yake ni bunge kutuletea sheria katili na kandamizi bila kutaraji,ifike mahali kigezo cha elimu kitumike ili kupata wabunge madhubuti.Ambao hata wakibolonga tutawalaum kwa kushindwa kuwawakilisha vyema wananchi waliowachagua.
Ndio hao wana sign mikataba bila kusoma
 
Unajua sababu ya hao watu kuwapo bungeni? 1970s class 7 ilikuwa ni moja ya elimu kubwa, na wasomi hawakuwapo wengi.
Lakin miaka imebadilika wasomi ni wengi kuliko class 7, bunge halipo kubeba watu dhaifu wanaoleta mizaha sababu ya elimu zao

Jamii ya sasa ina mahitaji tofauti, bunge si kabila lisibadilike, mabadiliko yaendane na mahitaji ya jamii mpya na kizaz kipya

Ambacho ni cha wasomi
Hiyo mikataba ya hovyo walisaini wasio wasomi? Si inaandaliwa na wasomi na wakati mwingine wabunge wasio wasomi wanaipiga chini ikaandikwe upya.... Cc:Richmond

Bunge ni mbadala wa vikao vya mtaani au vijijini ambako kila mtu anahudhuria, Bunge ni National Assembly(mkutano wa taifa), mkutano wa taifa ni wa kila mtu, bila kujali ni profesa au darasa la saba. Kigezo chako ni kuwa mtu wa taifa hilo
 
Hoja ni Moja tu MSUKUMA angekuwa amesoma angepata uwaziri sasa BITEKO atakuwa na kaz ngumu badae najua hujui hili ila utalijua badae
 
Hiyo mikataba ya hovyo walisaini wasio wasomi? Si inaandaliwa na wasomi na wakati mwingine wabunge wasio wasomi wanaipiga chini ikaandikwe upya.... Cc:Richmond
na wabunge wa class 7 wakapiga kura ya ndio bila kujua yaliyomo
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tukiruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa.

Musukuma anayemiliki billions in cash na mali za mabilioni ndio ashindwe kuelewa concept za mada za bunge? Hao wasomi wana nini cha kumshinda Musukuma au Kishimba? Hao wanakupa tafsiri ya uchumi kwa lugha ya mtaani, lugha ya saiti. Hawana theory nyiingi na vingereza vya kuombea maji.

Mtoa mada ukimpa hata mradi wa kufuga bata, kesho unakufa
Shule ni muhimu ndio maana Mbowe amefanya ujinga hadi wa kumpokea Lowassa huku Lissu akiwa mpinzani halisi. Kujaza wajinga na watu wasio na elimu bungeni ni kuwaruhusu serikali kupitisha sheria za manufaa yao kirahisi. Mikataba ya DP world haijadiliwi kwa kina kwa sababu tuna watu ambao hawana shule bungeni.
 
Major Waziri wa Uingereza ndio waliofanya standard bank itanue wigo huko bara la Asia miaka ya 76 akiwa PR wao wewe mvunja kuni unasema ajasoma kabisa inakuaje unatetea Elimu ndogo bungeni wakati swala la kodi linataka watu walioenda shule japo kidogo..
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tukiruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa.

Musukuma anayemiliki billions in cash na mali za mabilioni ndio ashindwe kuelewa concept za mada za bunge? Hao wasomi wana nini cha kumshinda Musukuma au Kishimba? Hao wanakupa tafsiri ya uchumi kwa lugha ya mtaani, lugha ya saiti. Hawana theory nyiingi na vingereza vya kuombea maji.

Mtoa mada ukimpa hata mradi wa kufuga bata, kesho unakufa
Duh sikudhania nitakutana na comedy ya kiwango hiki asubuhi kama hii.

Umoja wa kitaifa utajengwa level ya mtaa.

Kutajirika ni swala moja ila kua na uwezo wa kuelewa dunia inapokwenda na kuyafuata mabadiliko ni swala jingine.

Umeleta mfano mmoja wa kiongozi asiye na elimu kubwa na akafanikiwa. Umesoma mapungufu yake? Una mifano mingapi ya viongozi wasiosoma na wakapeleka nchi zao shimoni?

Dunia iliyo speed kwa sasa illiteracy siyo kusoma na kuandika ila ni kushindwa kujifunza, kushindwa kuachana na ulichojifunza juzi na kushindwa kujifunza njia mpya.

Babu Tale na Msukuma ni nembo ya wengi ambao ni illiterate wa kusoma na kuandika na ni illiterate wa dunia iliyo speed.

Wewe ni nembo ya illiterate wa dunia iliyo speed.
 
Shule ni muhimu ndio maana Mbowe amefanya ujinga hadi wa kumpokea Lowassa huku Lissu akiwa mpinzani halisi. Kujaza wajinga na watu wasio na elimu bungeni ni kuwaruhusu serikali kupitisha sheria za manufaa yao kirahisi. Mikataba ya DP world haijadiliwi kwa kina kwa sababu tuna watu ambao hawana shule bungeni.
Mbowe ni political genius ambaye alijua kusoma mchezo na mitego ya kisiasa
 
Duh sikudhania nitakutana na comedy ya kiwango hiki asubuhi kama hii.

Umoja wa kitaifa utajengwa level ya mtaa.

Kutajirika ni swala moja ila kua na uwezo wa kuelewa dunia inapokwenda na kuyafuata mabadiliko ni swala jingine.

Umeleta mfano mmoja wa kiongozi asiye na elimu kubwa na akafanikiwa. Umesoma mapungufu yake? Una mifano mingapi ya viongozi wasiosoma na wakapeleka nchi zao shimoni?

Dunia iliyo speed kwa sasa illiteracy siyo kusoma na kuandika ila ni kushindwa kujifunza, kushindwa kuachana na ulichojifunza juzi na kushindwa kujifunza njia mpya.

Babu Tale na Msukuma ni nembo ya wengi ambao ni illiterate wa kusoma na kuandika na ni illiterate wa dunia iliyo speed.

Wewe ni nembo ya illiterate wa dunia iliyo speed.
Bill Gates ana digrii ngapi?
 
Back
Top Bottom