PreGE2025 Dkt Bravious Kahyoza: Siyo sahihi kabisa wabunge wetu kujua kusoma na kuandika tu

PreGE2025 Dkt Bravious Kahyoza: Siyo sahihi kabisa wabunge wetu kujua kusoma na kuandika tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe ni political genius ambaye alijua kusoma mchezo na mitego ya kisiasa
Hakuwa political genious alikuwa anazunguka zunguka na kurudi pale pale Kama Raila Odinga. Watu wameshaamka miaka inaenda tupo pale pale. Hata ukiangalia yanayoendelea Kenya watu wameamka wamegundua BABA(Odinga) anazunguka tu na hawapigi hatua.
 
Bado kuna toleo la watu aina ya akina baba levo, doto magari na mwijaku halijaingia bungeni , chawa lazima wapate uwakilishi bungeni😁
 
Bill Gates ana digrii ngapi?
Tulishawahi kumjadili Bill Gates humu.

Na kama nilivyosema "Wewe ni nembo ya illiterate wa dunia iliyo speed" ulichokariri utotoni kwamba jamaa hakusoma hujataka kukitafutia maelezo
 
Hata wale wa viti maalumu nao kuna wenye elimu ndogo, bungeni ni ndiyo kila kitu. Wekeni watu wenye elimu za kutosha kuchambua na kuchakata mambo bungeni
 
Una ushahidi kwamba hawakujua yaliyomo?
Una ushahidi kuwa walijua yaliyomo ?
Mbowe ni political genius ambaye alijua kusoma mchezo na mitego ya kisiasa
mbowe ni street smart but sio political genius, on the top of tha ni business man so ana make deals kulinda maslahi yake

Na ujanja wake alishindwa kusoma majira ya nyakati na vizaz vya sasa vinataka nini
 
Kuna mtu mmoja sijui alikuwa kalewa nini eti alikuwa anasema Kuna muhimili mmoja unaongozwa na form four failure, nilimucheki halafu nikaishia kumdharau TU.

Hajui kwamba mihimili yetu yote kwa sasa ndo inashikiliwa na wasomi kuliko kipindi chochote...............!
 
Angalao kiwango cha elimu kiwe japo 1st degree kutoka katika Chuo kinachotambulika.
Tuachane na tabia ya kuwa na wabunge wasio na tija kwa Taifa!
 
Hata hao madokta kina Tulia hawana tofauti na kina kibajaji, waacheni standard 7. Bunge lishapoteza maana yake kitambo.
 
Bunge ni sehemu ya kujenga umoja wa kitaifa, sio kijiwe cha wasomi, hapo wanakaa watu wote. Tukiruhusu tofauti huku tunajua ambao hawajasoma ni wengi kwa asilimia 98,watahisi kutengwa.

Angalia Mbowe, hana elimu kubwa lakini aliongoza Chadema kwa mafanikio kuliko huyu Lissu. Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu John Major, hakuwa na elimu sana lakini chini ya uongozi wake Uingereza ilipaa.

Musukuma anayemiliki billions in cash na mali za mabilioni ndio ashindwe kuelewa concept za mada za bunge? Hao wasomi wana nini cha kumshinda Musukuma au Kishimba? Hao wanakupa tafsiri ya uchumi kwa lugha ya mtaani, lugha ya saiti. Hawana theory nyiingi na vingereza vya kuombea maji.

Mtoa mada ukimpa hata mradi wa kufuga bata, kesho unakufa
Mali si mbadala wa elimu.
 
We ni mpumbavu....
 
Ht duniani watu wenye pesa huwepo kwenye vyombo km bungeni. Ila hayo wafanyabiashara ni nini kinawashinda kujiendeleza? Ni uvivu tu, wajiendeleze elimu ni muhimu sana kuelewa mambo kwa upana wake. Wabunge km wa Mbulu, Karatu hawawezi ht kuuli za maswali bungeni. Lugha ya Kiswahili yenyewe shida, hasa yule wa Mbulu Mjini hawezi kimwuliza swali waziri mkuu, hajui tofauti kati ya swali la kisera na swali la kisekta. Elimu ni muhimu sana sana, ht biblia imeandika mtafuteni elimu angalieni msimwache akaenda zake maana yeye ni chanzo cha maarifa.
 
Bill Gates ana digrii ngapi?
Unaijua historia ya Bill Gates? Acha udwanzi, huyo ni miongoni mwa chipukizi waliokuwa wanasomea Computer Science Havard University miaka ya 1971. Acha kutetea ujinga, ujinga ni miongoni mwa maadui watatu aliowatangaza baba wa Taifa mara tu baada ya nchi kupata uhuru. Unapata wapi ujasiri kutetea ujinga mwaka 2025? We ni mwehu?
 
Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa,

Soma pia hii Dkt Kahyoza: Kati ya hotuba 34 za Rais Samia 17 zilizungumzia PPP na kati ya nchi 195 zilizopo duniani ni nchi 26 tu na Tanzania ikiwemo zina PPPC
View attachment 3374040
Hivi tofauti ya hao na Maprofesa wa sisiemu waliopo ni upi? Tuanzie hapo kwanza
 
Hiyo mikataba ya hovyo walisaini wasio wasomi? Si inaandaliwa na wasomi na wakati mwingine wabunge wasio wasomi wanaipiga chini ikaandikwe upya.... Cc:Richmond

Bunge ni mbadala wa vikao vya mtaani au vijijini ambako kila mtu anahudhuria, Bunge ni National Assembly(mkutano wa taifa), mkutano wa taifa ni wa kila mtu, bila kujali ni profesa au darasa la saba. Kigezo chako ni kuwa mtu wa taifa hilo
Kinembe ungekaa kimya ungeonekana Una busara .😎😎😎😎😎
 
Tulishawahi kumjadili Bill Gates humu.

Na kama nilivyosema "Wewe ni nembo ya illiterate wa dunia iliyo speed" ulichokariri utotoni kwamba jamaa hakusoma hujataka kukitafutia maelezo
Kusoma sio kuelimika
 
Back
Top Bottom