SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kwa nini wapindue meza?Kama aliyeshika number moja kashinda kihalali ?Kamati kuu huwa wanakata kwa sababu pia,Mara Nyingi wanaoongoza ndo wanapita hata kamati kuu.Hapa ndo ujue kwamba ulimwengu wa wapigakura ni tofauti sana na ile dunia tunaoishi tunaojifanya wasomi na wajuzi wa mambo.
Same same kwa kilichompata ndugu Pasco Mayalla, ujuaji mwingi wa hoja ila wakulungwa wamemkata.
Ila nadhani kamati kuu hapa kwa Kimei lazima wapindue meza
Kimei kimei! Mara ooh, wanaogombea na kimei wanapoteza muda wao...Sasa umekuja na ngonjera nyingine! Mfyuuuu!Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB Dkt Charles Stephen Kimei ambaye alijitosa kutafuta tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM na kupata kura 178 huku mshindi Ndugu Enock Zadock Koola akipata kura 187 amesema anawashukuru wanachama wenzake kwa kumuamini katika hatua hii ya awali na amewaomba kuendeleza umoja na mshikamano ili pale vikao vya uteuzi vitakapokamilisha kazi yake na kutupa mgombea mmoja kwa pamoja tukahakikishe anashinda na CCM inapata ushindi wa heshima kwa ngazi zote.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Nahisi hapa labda wapindue meza. BTW ameshindwa pia kwa kura chache, kwa hiyo hata wakipundua meza kuna justification wanaweza toa.Ila wachaga hawaangali pesa wala vyeo. Ingekuwa Bariadi kwetu basi Kimei angeshinda asubuhi. Chenge alitoka Dar akaja akashinda kirahiiiiisi.
Mzee Kimei, kama tungekutana na wewe tena kama ili vyokuwa siku ile pale koridoni nisingekushauri kugombea ubunge. Anyway, kwa neema za Mungu naamini tutaonana tena kwenye kahawa yetu pale pa siku zoteMkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB Dkt Charles Stephen Kimei ambaye alijitosa kutafuta tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo
Hivi Chenge mwaka huu yumo?Ila wachaga hawaangali pesa wala vyeo. Ingekuwa Bariadi kwetu basi Kimei angeshinda asubuhi. Chenge alitoka Dar akaja akashinda kirahiiiiisi.
anaweza kuwepo kwenye listHivi Chenge mwaka huu yumo?
Ila wachaga hawaangali pesa wala vyeo. Ingekuwa Bariadi kwetu basi Kimei angeshinda asubuhi. Chenge alitoka Dar akaja akashinda kirahiiiiisi.
Basi ndo kwa heri yake... ila lakini aliyeshinda huwezi jua ana nini cha ziada.. usilolijua ni usiku wa giza, huenda anawafaa waliomchaguaKwa nini wapindue meza?Kama aliyeshika number moja kashinda kihalali ?Kamati kuu huwa wanakata kwa sababu pia,Mara Nyingi wanaoongoza ndo wanapita hata kamati kuu.
Kwa kimei laziiiiimaaaaaa meza ipinduliwe. Huyu anarudiHapa ndo ujue kwamba ulimwengu wa wapigakura ni tofauti sana na ile dunia tunaoishi tunaojifanya wasomi na wajuzi wa mambo.
Same same kwa kilichompata ndugu Pasco Mayalla, ujuaji mwingi wa hoja ila wakulungwa wamemkata.
Ila nadhani kamati kuu hapa kwa Kimei lazima wapindue meza
Koola si light weight nadhani ni mtoto wa Zadock Koola yule jamaa wa ZK Advertisement! Kimei ana chance ya kupewa Ubunge wa kuteuliwa maana nilishamsikia JPM akimpamba kiaina!Hapa ndo ujue kwamba ulimwengu wa wapigakura ni tofauti sana na ile dunia tunaoishi tunaojifanya wasomi na wajuzi wa mambo.
Same same kwa kilichompata ndugu Pasco Mayalla, ujuaji mwingi wa hoja ila wakulungwa wamemkata.
Ila nadhani kamati kuu hapa kwa Kimei lazima wapindue meza
Pesa wachaga wanazo infact sio washamba wa pesa....Ila wachaga hawaangali pesa wala vyeo. Ingekuwa Bariadi kwetu basi Kimei angeshinda asubuhi. Chenge alitoka Dar akaja akashinda kirahiiiiisi.
Tena kapeta kama kumsukuma mlevi. Ameshinda kama alikuwa nazo hizo kura zoote mkononiHivi Chenge mwaka huu yumo?
Bariadi kama kilwa kaskazini, Kuna ujinga mwingi sana kwa Wamatumbi na wangindoIla wachaga hawaangali pesa wala vyeo. Ingekuwa Bariadi kwetu basi Kimei angeshinda asubuhi. Chenge alitoka Dar akaja akashinda kirahiiiiisi.
Huyo mzee ana pesa balaaTena kapeta kama kumsukuma mlevi. Ameshinda kama alikuwa nazo hizo kura zoote mkononi
Pesa yake ndogo tu....Huyo mzee ana pesa balaa
Hao waliopiga kura wanazijua hizo PHD zake kwamba zitawasaidiaje kwenye jimbo?Nahisi hapa labda wapindue meza. BTW ameshindwa pia kwa kura chache, kwa hiyo hata wakipundua meza kuna justification wanaweza toa.
Lakini muda mwingine huwa nawashangaa wapiga kura kumtosa mtu kama Kimei (Phd Holder in Economics, Corporate leader) hawa ndo watu wa kupigiwa kura jamani
Nakubali kwa sababu hata zile alizozoa kwa toroli hakukubali kurudisha ka wenzakeHuyo mzee ana pesa balaa