Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei asimikwa kuwa Simba wa Vunjo

Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei asimikwa kuwa Simba wa Vunjo

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Wazee wa kimila jamii ya kimasai (Laiguanani) katika jimbo la Vunjo wilayani Moshi wamemweka mgombea wa ubunge jimbo hilo Dkt. Charles Stephen Kimei na kumsimika kuwa ndiye 'Simba wa Vunjo' kwa kumpa baraka zote za ushindi wa nafasi ya ubunge katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 28, 2020.

Aidha Dkt. Kimei amewaahidi wazee hao kuwa endapo akishinda nafasi hiyo ya ubunge atatumia uzoefu wake wote pamoja na mtandao wake mpana wa maendeleo ya kiuchumi aliokuwa nao wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB na kuhakikisha wanavunjo na mkoa mzima wa Kilimanjaro wananufaika naye.

#Uchaguzi2020 #AmaniKwanza.

IMG-20200828-WA0107_1598641891080.jpg
IMG-20200828-WA0108_1598641936116.jpg
 
Back
Top Bottom