Hoja siyo kutoa shilingi, ni upuuzi wa kukaa miezi mitatu kujadili kitu ambacho hakifanyiwi kazi.Kama anasimamia ukweli, basi atoe shilingi kwenye bajeti za Wizara zembe
Bajeti si ni makararasi tu ya kutumia ulichokusanya sasa Kama hukusanyi huna cash utakuwa na miujiza kutekelezaHuyu angepewa Wizara ya Fedha huenda tungefanya jambo kuliko Waziri aliyepo saivi maana hana tofauti saana na Sabaya
Nami nilitegemea kuwa huyu mwamba atapewa wizara ya fedhaHuyu angepewa Wizara ya Fedha huenda tungefanya jambo kuliko Waziri aliyepo saivi maana hana tofauti saana na Sabaya
We usha wahi kufuatilia michango yake yote Bungeni? Au unaongea uharo tu humu ilimuladi na wewe uonekane umechangia,Kimei angepumzika tu what a disappointment akiwa kama an economist and succeful banker I had hopes kwa nafasi yake atoe ushauri wa sustainability ya mapato serikalini, kushauri kwenye investment zenye tija na high yield za kiuchumi etc to do with elimu yake na mafanikio yake.
Labda kweli ukiingia CCM akili unatakiwa uziache huko huko, yaani amekuwa na michango ya ovyo very simple like an average MP.
Tatizo linaanzia kwa mawaziri ambao serikali ikipeleka fedha kwa kazi yo yote ile wanabaki kumsifia Rais kama vile ametoa fedha zake mfukoni wakati ni kodi zetu!Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa imetekelezwa kwa asilimia 50. Nani anashikwa na kupelekwa kortini? Nani anawajibika kwa hilo?"
Mbona yeye hajawajibika kwa madudu aliyofanya CRDB?Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa.
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa imetekelezwa kwa asilimia 50. Nani anashikwa na kupelekwa kortini? Nani anawajibika kwa hilo?"
Taja mchango wake mmoja wenye tija kabla ya kuanza kutukana watu.We usha wahi kufuatilia michango yake yote Bungeni? Au unaongea uharo tu humu ilimuladi na wewe uonekane umechangia,
Fuatilia michango yake tangu January acha ujinga then rudi humu
Kimei angepumzika tu what a disappointment akiwa kama top economist and a succeful banking career spanning over 30 years at top manangement. I had high hopes kwa nafasi experience yake atoe ushauri wa sustainability ya mapato serikalini, kushauri kwenye investment zenye tija na high yield za kiuchumi etc to do with elimu yake na mafanikio yake.
Labda kweli ukiingia CCM akili unatakiwa uziache huko huko, yaani amekuwa na michango ya ovyo very simple like an average MP.
Namajadili Kimei kwa sababu I expected more from him, ingelikuwa mmbunge mwingine kapendekeza hayo nisingeshangaa based on their limitations.You are off the point....
Imewekwa hoja hapa lakini ni ajabu wewe unamjadili mtu mtoa hoja Kimei...!!
What's wrong with you ndugu...??
That is your observation, kwamba sometimes Kimei michango yake huwa ni uharo tu.. You are totally free to think that way..We usha wahi kufuatilia michango yake yote Bungeni? Au unaongea uharo tu humu ilimuladi na wewe uonekane umechangia,
Fuatilia michango yake tangu January acha ujinga then rudi humu