Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
ni private entinty. sio public entityMbona yeye hajawajibika kwa madudu aliyofanya CRDB?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni private entinty. sio public entityMbona yeye hajawajibika kwa madudu aliyofanya CRDB?
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa.
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa imetekelezwa kwa asilimia 50. Nani anashikwa na kupelekwa kortini? Nani anawajibika kwa hilo?"
sorry but that politics. even bright minds wakiingia huko hawatakiwi wawe smart tenaHayo mapendekezo si hata msukuma na kibabaji wanaweza kutuambia.
We expect a financier aende deeper na kudadavua risk associated na current income sources, how each source collection could be improved, Ashanti kwenye risk mitigations, provision kwenye makusanyo ili serikali ipange sahihi; etc with a realistic budgeting na uwezo wa Kimei kwenye kuchambua kutokana na work experience yake.
Ila yeye Kimei anaongea hoja rahisi rahisi kama wabunge waliofuta posho, he is just a disappointment.
You can't expect to hear all of that in a period of 5 - 8 minutes...Namajadili Kimei kwa sababu I expected more from him, ingelikuwa mmbunge mwingine kapendekeza hayo nisingeshangaa based on their limitations.
Kwa watu wanaofahamu michango yangu Kimei was a finance guru in my books wakati yupo CRDB na nimeshapitia maandiko yake kadhaa akiikosoa banking sector katika ujana wake very sound, realistic and clever.
Lakini tangia ameingia bungeni amekuwa just an average MP mwenye kuchukua posho tu.
Ukuano hapo niliposema alitakiwa ashauri namna ya kufanya provisions za makusanyo? Better still he is an economist na banker so anajua how economic downturn affects businesses and risks associated with; or what do you think I was implying at, nilipoandika ashauri maswala ya income provision?You can't expect to hear all of that in a period of 5 - 8 minutes...
What he had at that particular time ni hiki alichokisema na ambacho ni kweli tupu...
Tunajua kuwa bajeti ni estimation ya INCOME & EXPENDITURES for the coming period of time...
Kufanya estimation kunatawaliwa na kanuni za mahesabu kwa kuzungatia maeneo ya kupatia mapato hayo...
Kama serikali inakuja na bajeti (makadirio na matumizi) ambayo utekelezaji wake mwisho wa siku unakuwa 50% tu, hiyo inakuwa too big error...!!
Maana yake kuna makosa yamefanyika mahali. Ni kazi ya bunge kuhoji hili.. Kakosea wapi?
Sikubaliani na wewe. Stop being pompous bwana...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa.
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa imetekelezwa kwa asilimia 50. Nani anashikwa na kupelekwa kortini? Nani anawajibika kwa hilo?"
Mkuu,We usha wahi kufuatilia michango yake yote Bungeni? Au unaongea uharo tu humu ilimuladi na wewe uonekane umechangia,
Fuatilia michango yake tangu January acha ujinga then rudi humu
Watakuja wakuambie hafai hapo wizara ya fedha kwa kuwa ni Mchagga!!!!Huyu angepewa Wizara ya Fedha huenda tungefanya jambo kuliko Waziri aliyepo saivi maana hana tofauti saana na Sabaya