Dkt. Charles Kimei: Bunge liwajibike kusimamia bajeti inayotekeleza kwa asilimia 100%

Bunge UCHWARA hawana jipya.
 
sorry but that politics. even bright minds wakiingia huko hawatakiwi wawe smart tena
 
You can't expect to hear all of that in a period of 5 - 8 minutes...

What he had at that particular time ni hiki alichokisema na ambacho ni kweli tupu...

Tunajua kuwa bajeti ni estimation ya INCOME & EXPENDITURES for the coming period of time...

Kufanya estimation kunatawaliwa na kanuni za mahesabu kwa kuzungatia maeneo ya kupatia mapato hayo...

Kama serikali inakuja na bajeti (makadirio na matumizi) ambayo utekelezaji wake mwisho wa siku unakuwa 50% tu, hiyo inakuwa too big error...!!

Maana yake kuna makosa yamefanyika mahali. Ni kazi ya bunge kuhoji hili.. Kakosea wapi?

Sikubaliani na wewe. Stop being pompous bwana...
 
Ukuano hapo niliposema alitakiwa ashauri namna ya kufanya provisions za makusanyo? Better still he is an economist na banker so anajua how economic downturn affects businesses and risks associated with; or what do you think I was implying at, nilipoandika ashauri maswala ya income provision?

Yeye ni banker he is used to default debts and risk mitigation za biashara kwenye forecast zao za income.

Now that is a transferable skill badala ya kuja na simple statement I expected atumie hizo skills zake kukosoa budgeting sources na ashauri as an economists as well as being an experienced banker.

Sasa kutuambia budget aifikiwi kila mwaka is that news to you or anyone in JF si kila mwaka ni ivyo ivyo tu. Awaambie what is wrong with their plan and what measures ought to be taken based on his finance expertise.
 

Safi kabisa, hii itakomesha kusifia kila kitu, kupiga makofi kwa kila jambo, kupunguza ndiyooooooooo, na mengine mengi.
 
We usha wahi kufuatilia michango yake yote Bungeni? Au unaongea uharo tu humu ilimuladi na wewe uonekane umechangia,

Fuatilia michango yake tangu January acha ujinga then rudi humu
Mkuu,

Ungeweza kufikisha ujumbe wako bila lugha ya kutusi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…