Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Bora uwaelimishe kama mnakumbuka enzi zile za Keenja na jiji na Keenja na Ubunge ilikuwa kama mbingu na ardhiKuna watu wanaamini kwamba Charles Kimei ataibadilisha Vunjo, sasa imani yao inaegemea kwamba jamaa alikuwa CRDB, na wanaamini pesa alizovuna CRDB zitaenda kuibadilisha Vunjo.
Haya ni mawazo si sahihi kabisa, MO alikuwa na pesa mbona singida bado ni masikini? Rostam alifanya nini Igunga si alikuwa na pesa?
wananchi wa vunjo ni werevu, Charles Kimei hatachukua pesa zake za mafao CRDB akawaletee watu maendeleo, hizi ni ndoto Za mchana, wananchi wa vunjo Wanajua mtu bora anayefaa ni Nani.