TANZIA Dkt. Cyril Chami afariki dunia

Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
Hakua na watoto?
 
Dom kuna hospitali nzuri zaidi ya Dar au ni nyumbani kwake?
Kwa uzuri dar Kuna nzuri zaidi ya dodoma lakini kwa ubora za dodoma zimezidi za dar kwa ubora wa vifaa na mashine kwa kuwa vifaa vimewekwa wakati huu ambapo technology iko juu Sana.
 
RIP mheshimiwa Chami,

By the way kumbe unaweza rudi tena kufundisha baada ya mambo ya siasa kuisha. unaenda kuwa chini ya DVC,
 
RIP mheshimiwa Chami,

By the way kumbe unaweza rudi tena kufundisha baada ya mambo ya siasa kuisha. unaenda kuwa chini ya DVC,
Ndio maisha mkuu, kuna mbunge mmoja baada ya kukosa ubunge 2005, alipata kazi ya uheadmaster kwenye shule ya sekondari.
 
Anapoondoka MSOMI huzuni huwa ni maradufu....

Dr.Chami alikuwa mmojawapo was wasomi...kikubwa ni kukumbuka huduma yake ya UFUNDISHAJI....

Alale anakostahili!!
 
RIP mheshimiwa Chami,

By the way kumbe unaweza rudi tena kufundisha baada ya mambo ya siasa kuisha. unaenda kuwa chini ya DVC,
kufundisha kuna heshima kuliko uwaziri rais wa uran Ahmadinejad baada ya kustaafu urais aliludi kufundisha ili aendelee kutoa mchango kwenye taifa lake
 
Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
Mwenyezi ni mkarimu sana. Akikupa wewe akili kubwa ya darasani wengine anawapa ya mtaani ili coexistence theory iweze kufanya kazi maisha yaendelee. Wapo wengi aalionufaika naye kipindi cha uwaziri wake. Wengine walipelekwa kufanya kazi balozi mbali mba mbali alipotoka kwenye uwaziri na wenyewe wakajirudia kufanya kazi nyumbani. Huu ndio muda wao wa kujitoa kwa hali na mali kumpumzisha Dr. Katika nyumba yake ya milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…