Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Apumzike kwa amani!
Pole kwa ndugu na jamaa!
Pole kwa ndugu na jamaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatosha kusema RIP Dr Chami.R.I.P Dr Chami
Marukanga kitamboMsisahau kuvaa barakoa, kunawa mikono kila mara na kubeba sanitiser. Epuka mikusanyiko na uchukue tahadhari.
Mkuu sema tu ni marukanga yamemchukua dk,sote tu njia mojaSure mkuu. Ngoja sisi tunaomfahamu tufiche ya sirini.
Hakua na watoto?Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
Kwa uzuri dar Kuna nzuri zaidi ya dodoma lakini kwa ubora za dodoma zimezidi za dar kwa ubora wa vifaa na mashine kwa kuwa vifaa vimewekwa wakati huu ambapo technology iko juu Sana.Dom kuna hospitali nzuri zaidi ya Dar au ni nyumbani kwake?
ShkamooPole sana wafiwa. Alikuwa Mwenyekiti wangu pale Tosamaganga miaka hiyo.
Mungu awajalie moyo wa unyenyekevu ndugu wa marehemu kuyapokea mapenzi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii huwa kujifariji tutarejea kama tu tutaishi maisha ya toba laah tutachomwa tuHakika sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
RIP mheshimiwa Chami,Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
===
View attachment 1619860
Dkt. Cyril Agustino Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu
Dkt. Chami aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia CCM, tangu 2005. Januari 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Februari 2008 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko mwaka 2010 hadi 2012.
Hadi mauti yanamkuta, Dr. Chami alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Idara ya Uchumi.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Nzuguni.
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
===
View attachment 1619860
Dkt. Cyril Agustino Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu
Dkt. Chami aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia CCM, tangu 2005. Januari 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Februari 2008 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko mwaka 2010 hadi 2012.
Hadi mauti yanamkuta, Dr. Chami alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Idara ya Uchumi.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Nzuguni.
Ndio maisha mkuu, kuna mbunge mmoja baada ya kukosa ubunge 2005, alipata kazi ya uheadmaster kwenye shule ya sekondari.RIP mheshimiwa Chami,
By the way kumbe unaweza rudi tena kufundisha baada ya mambo ya siasa kuisha. unaenda kuwa chini ya DVC,
kufundisha kuna heshima kuliko uwaziri rais wa uran Ahmadinejad baada ya kustaafu urais aliludi kufundisha ili aendelee kutoa mchango kwenye taifa lakeRIP mheshimiwa Chami,
By the way kumbe unaweza rudi tena kufundisha baada ya mambo ya siasa kuisha. unaenda kuwa chini ya DVC,
Mwenyezi ni mkarimu sana. Akikupa wewe akili kubwa ya darasani wengine anawapa ya mtaani ili coexistence theory iweze kufanya kazi maisha yaendelee. Wapo wengi aalionufaika naye kipindi cha uwaziri wake. Wengine walipelekwa kufanya kazi balozi mbali mba mbali alipotoka kwenye uwaziri na wenyewe wakajirudia kufanya kazi nyumbani. Huu ndio muda wao wa kujitoa kwa hali na mali kumpumzisha Dr. Katika nyumba yake ya milele.Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.