GE2025 Dkt. Dennis Muchunguzi: Utaratibu wa kikatiba ulifuatwa kumteua Dkt. Samia kugombea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.

Mkuu huyu Dennis Muchunguzi ana undugu na Dennis Robert Shughuru kwasababu majina yao ya kwanza Dennis yanafanana.

Dennis Robert Shughuru
 
Wakuu

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.

View attachment 3412053
Mnajipendekeza, huku hamjui katiba na taratibu za uteuzi za CCM. Mnalipwa kufanya haya mnayoyafanya. Kimsingi mmekosea.....Semeni mmekosea kuliko kuongea vitu msivyojua.
 
kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
Jina lake lilipendekezwa na nani au kikao kipi?

1. Samia ameinajisi katiba ya ccm.
2. Samia amevinja sheria za uchaguzi kwa kuanza kampeni tangu mwaka Jana.
3. Samia ametoa rushwa nchi nzima kwa kugawa pikipiki na baiskeli.

Hafai, hafai tena hafai kabisa.
 
Wakuu

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.

View attachment 3412053
Majina gani mengine yaliletwa
 
Huyu mtu ni mjinga tu, tumpuuze kwa 100%.
Tangu lini Mkutano mkuu ukawa na jukumu la kupendekeza mgombea urais wa CCM, tena from the scratch, on the spot?
 
Wakuu

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.

View attachment 3412053
Super chawa
 
Back
Top Bottom