Wewe mimi nimesema tukuwahishe tu kwakweliMkuu huyu Dennis Muchunguzi ana undugu na Dennis Robert Shughuru kwasababu majina yao ya kwanza Dennis yanafanana.
Dennis Robert Shughuru

Hata mkwe aliafiki!!Hapo ndipo penye fukuto
New chawa in town!Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Hutuba ya Nyerere kaiona au kuiskia huyu msomi?Inasikitisha wasomi wa nchi hii ndiyo wanaongoza kwa uchawa
Kwaiyo hajamsikia Jakaya akisema tunavunja kanuni kidogo?Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Kama alivyofanya kwa wale kwani Sheria ni msumeno..TUNATAKA MUTUNGI AFUTE CCM HARAKA KWA KUKIUKA KATIBA YAO