The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mkuu huyu Dennis Muchunguzi ana undugu na Dennis Robert Shughuru kwasababu majina yao ya kwanza Dennis yanafanana.Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
Mnajipendekeza, huku hamjui katiba na taratibu za uteuzi za CCM. Mnalipwa kufanya haya mnayoyafanya. Kimsingi mmekosea.....Semeni mmekosea kuliko kuongea vitu msivyojua.Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Jina lake lilipendekezwa na nani au kikao kipi?kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
Majina gani mengine yaliletwaWakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Kwamba wote "mtu-mbili" wana uwezo wa kiakili unaofanana!?Mkuu huyu Dennis Muchunguzi ana undugu na Dennis Robert Shughuru kwasababu majina yao ya kwanza Dennis yanafanana.
Dennis Robert Shughuru
Huyu mtu ni mjinga tu, tumpuuze kwa 100%.Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Na,mwenyekiti/muongozaji wa mkutano alikuwa si kiongozi "halali" kuongoza shughuli hiyo.Huyu mtu ni mjinga tu, tumpuuze kwa 100%.
Tangu lini Mkutano mkuu ukawa na jukumu la kupendekeza mgombea urais wa CCM, tena from the scratch, on the spot?
Super chawaWakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu, vikao vyote vya kamati kuu na Halmashauri kuu vilikaa ili kuleta majina ya wagombea.
View attachment 3412053
Hapo ndipo penye fukutoVikao Havikuwa Huru Kufanya Mchujo na Uchunguzi wa Wagombea
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16hKQhDyCU/
Hivi,anayemuhoji hana kinga ya kisheria anayoweza kumkandika makofi mawili-matatu huyo mganga (dokta)tapeli?Wanafikiri watu ni wajinga