GE2025 Dkt. Dennis Muchunguzi: Utaratibu wa kikatiba ulifuatwa kumteua Dkt. Samia kugombea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe ishu imeanza kupata Kiki namna hii?
Kadiri wanavyojaribu kujibu hoja ndipo wanazidi kusambaza taarifa zaidi Kwa watu, ni Bora wakae kimya kuliko kujibu
 
New chawa in town!
 
Hivi huyu kweli ni msomi?

Anawezaje kusema "ilizoeleka" kama vile chaguzi za CCM hazifuati Muongozo wowote ule zaidi ya mazoea ya chama hicho!!!
 
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021
 
Kwaiyo hajamsikia Jakaya akisema tunavunja kanuni kidogo?
 
Kujibu haya maujinga aachiwe Samia mwenyewe. Kama atapiga mipasho sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…