TANZIA Dkt. Deogratius Rugaimukamu afariki dunia

TANZIA Dkt. Deogratius Rugaimukamu afariki dunia

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Rugaimukamu.jpg

RIP our lecturer
 
Bwana alileta, Bwana amechukua jina lake lihimidiwe
 
Jamani family yoyote yenye watu wakubwa au maradhi mengine tuache kuwatembela bila sababu muhimu tuwalinde hawa wazee. Kijana unaweza kuwa na corona lakini usijue ukampa mzee ukamleta matatizo. sisemi kama hii corona inaweza kuwa issue nyingine ila hili ni angalizo tu punguzeni visafari kwa wazee au ziara sio za lazima. pigeni simu tu kwa sasa.
 
Usisubiri kutangaziwa kuchukua tahadhari juu ya afya yako !!


Kikubwa jilinde ww na familia yako,,,
Sanitaiza
Epuka mikusanyiko
Mitoko isio na lazima epuka,,,
Vaa mask !

Matatizo ya kushindwa kupumua Ni mengi Sana yanaibuka kila kukicha,,,,
 
Mtu mmoja ana uwezo hadi wa kuamua hatima ya afya za mamilioni ya watu.

Kweli tuna katiba sio ya kijinga tu ni ya kipumbavu kabisa. I lost a person of my family today in the morning kwa changamoto ya upumuaji.

Tuendelee kupiga nyungu. Mitano tena

Pole sana mkuu... Tafakari Chukua hatua, Mitano Tena... Ni wewe
 
Mtu mmoja ana uwezo hadi wa kuamua hatima ya afya za mamilioni ya watu.Kweli tuna katiba sio ya kijinga tu ni ya kipumbavu kabisa...
Wekeni potential solutions ya nini kifanyike practically in our context na labda atafanya maana ni member humu na anasoma comments daily. Kulalamika tuuu haitusaidii sisi wote

Poleni sana kwa msiba. Hili janga sasa imefika mahali liwe personalized na kila mtu ajikinge kivyake.
 
Back
Top Bottom