Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

Dr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.

Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.

Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
sure kipindi kile labda sababu ya ugeni kiukweli alikuwa kama mtu wa hovyo kumbe yupo smart. nadhani shida ilikuwa yule msaidizi wake yule alikuwa kiazi sana pengine ndo alikuwa ana mpollute huyu aunt. kwa sasa gwajima anafanya kazi kwa weledi bila mihemko kabisa
 
kwakweli nampenda sana...!​
20230825_232647.jpg
 
Dr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.

Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.

Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
Ungekuwa wewe ungefanya tofauti? Ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono wewe kula naye tu.
 
Sijui kama kuna waziri smart kushinda huyu mama...yeye na silaa ndo naona wanaupiga mwngi the rest ni kusifia ujinga kila sikuu. Hwatimizi wajibu kujipendekeza kwa Rais na kumchosha tu mama wa watu
 
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.

Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza kwenye mambo mengi anayoyafanya mpaka sasa tofauti na Dkt. Gwajima D ambaye yeye amejifua na kujifunza kuwa smart.

Napendelea utendaji wake wa sasa ambao hauna kelele ila tu una kishindo. anafuatilia kila jambo kwa umakini na pasipo kuwa na kelele.

Nimeangalia hata humu ndani kunapokuwa na jambo hasiti kujitokeza na kujumuika Jukwaani bila woga. Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF na wengi walikimbia baada tu ya kupata vyeo au nafasi mbalimbali. Huyu amekuwepoo na anashiriki debates pasipo woga kabisa.

Mimi naona ni mtu anayefaa sana kuendelea kuwa kiongozi kwa kuwa ana tabia ya kufuatilia jambo kwa kina na majibu ambayo anayatoa sasa mara nyingi ni ya kitaalamu na si ya kisiasa.

Tuendelee kumsadia kwa kumshauri na kumkosoa pale inapobidi ili mambo yaweze kwenda sawa kwa upande wake na kuendeleza uchapaji kazi mzuri.

Pia soma PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana
Naona unataka kuwa chawa wa daktari, pambana mkuu hii dunia sio sehemu salama kwa watu wavivu
 
Anaweza kufika mbali lakini mfumo ukamzuiya, ni kiongozi mzuri sana tokea akiwa mtendaji wizara ya afya na hata udaktari wake sina wasiwasi kabisa kwamba alikua mtabibu mzuri.
ila tumpunguzie sifa maana anaweza kujikuta pabaya kwa vile sifa zote njema na nzuri ni kwa mmoja tu.

waziri najua utaupitia uzi huu, toka ndani ya moyo wangu nakupongeza na kukutakia heri zote njema na mungu akuwezeshe iwe rahisi kazi yako na uzidi kupata kibali mbele ya wakuu ili kilichowekwa na Mungu ndani yako kiwe faida kwa wote.
 
Dr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.

Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.

Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
Alikua anakera sana yani jins alivokua akifanya kazi mim adi leo simuelew kabisa sabu nahis akija rais kama jiwe atakua kama vile tena
 
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.

Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza kwenye mambo mengi anayoyafanya mpaka sasa tofauti na Dkt. Gwajima D ambaye yeye amejifua na kujifunza kuwa smart.

Napendelea utendaji wake wa sasa ambao hauna kelele ila tu una kishindo. anafuatilia kila jambo kwa umakini na pasipo kuwa na kelele.

Nimeangalia hata humu ndani kunapokuwa na jambo hasiti kujitokeza na kujumuika Jukwaani bila woga. Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF na wengi walikimbia baada tu ya kupata vyeo au nafasi mbalimbali. Huyu amekuwepoo na anashiriki debates pasipo woga kabisa.

Mimi naona ni mtu anayefaa sana kuendelea kuwa kiongozi kwa kuwa ana tabia ya kufuatilia jambo kwa kina na majibu ambayo anayatoa sasa mara nyingi ni ya kitaalamu na si ya kisiasa.

Tuendelee kumsadia kwa kumshauri na kumkosoa pale inapobidi ili mambo yaweze kwenda sawa kwa upande wake na kuendeleza uchapaji kazi mzuri.

Pia soma PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana
Wewe mwenyewe ni chizi tayari
 
Naona Gwajima ameanza kampeini mapema sana
 
Naona unataka kuwa chawa wa daktari, pambana mkuu hii dunia sio sehemu salama kwa watu wavivu

Kuna level sisi watu wa aina yangu tumevuka zamani sana. Nyie vilaza na maskini wa fikra ndo mnaweza fikiria. Ukisoma nyuzi zangu utagundua ni mtu independent najitegemea kifikra, kiuchumi na kiimani. Sina rafiki wala adui wa kudumu. Nina maslahi ya Tanzania ya kidumu tu.

Na bahati mbaya au nzuri hata Dkt Gwajima sifahamiani naye na hatujawahi kutana. So ukifikiria hivyo ni haki yako ya kimsingi wala hupaswi kupotezwa. Nakupongeza.
 
Back
Top Bottom