Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #21
sure kipindi kile labda sababu ya ugeni kiukweli alikuwa kama mtu wa hovyo kumbe yupo smart. nadhani shida ilikuwa yule msaidizi wake yule alikuwa kiazi sana pengine ndo alikuwa ana mpollute huyu aunt. kwa sasa gwajima anafanya kazi kwa weledi bila mihemko kabisaDr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.
Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.
Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
kwakweli nampenda sana...!
Dkt. Gwajima D hiyo hapo...!anatumia Id gani?
sina maana hiyo
Ungekuwa wewe ungefanya tofauti? Ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono wewe kula naye tu.Dr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.
Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.
Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
true. Mazingira yalimlazimu kujitoa ufahamu.Ungekuwa wewe ungefanya tofauti? Ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono wewe kula naye tu.
Hao watu wapo humu jf kwa ID zao feki, hawana ujasiri kama wa Dr Gwajima D wa kutumia ID og kwa sababu ya uovu wao, wanaogopa kupewa makavu na wadau wasio na simile kwa mambo maovu wayafanyayo.Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF
Naona unataka kuwa chawa wa daktari, pambana mkuu hii dunia sio sehemu salama kwa watu wavivuNachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.
Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza kwenye mambo mengi anayoyafanya mpaka sasa tofauti na Dkt. Gwajima D ambaye yeye amejifua na kujifunza kuwa smart.
Napendelea utendaji wake wa sasa ambao hauna kelele ila tu una kishindo. anafuatilia kila jambo kwa umakini na pasipo kuwa na kelele.
Nimeangalia hata humu ndani kunapokuwa na jambo hasiti kujitokeza na kujumuika Jukwaani bila woga. Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF na wengi walikimbia baada tu ya kupata vyeo au nafasi mbalimbali. Huyu amekuwepoo na anashiriki debates pasipo woga kabisa.
Mimi naona ni mtu anayefaa sana kuendelea kuwa kiongozi kwa kuwa ana tabia ya kufuatilia jambo kwa kina na majibu ambayo anayatoa sasa mara nyingi ni ya kitaalamu na si ya kisiasa.
Tuendelee kumsadia kwa kumshauri na kumkosoa pale inapobidi ili mambo yaweze kwenda sawa kwa upande wake na kuendeleza uchapaji kazi mzuri.
Pia soma PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana
Dkt. Gwajima Danatumia Id gani?
hata hivyo alikua sawa tu, baada ya ile ndio hio kuita kula na kipofuUngekuwa wewe ungefanya tofauti? Ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono wewe kula naye tu.
Alikua anakera sana yani jins alivokua akifanya kazi mim adi leo simuelew kabisa sabu nahis akija rais kama jiwe atakua kama vile tenaDr. Gwajima wa Magufuli na huyo wa sasa ni watu wawili tofauti.
Gwajima wa sasa anatumia akili yake kama msomi na mama. Gwajima wa Magufuli alikuwa mwanasiasa na kufanya kazi kwa mihemko.
Huyu mama kwa sasa ni moja ya mawaziri ninaowaheshimu na kuwakubali mno japo nilimnanga sana hasa kipindi cha Corona na maigizo ya nyungu.
afike mbali zaidi ikiwezekana awe katibu huko world hearth organization atumikiea Dunia kabisa kabisa.Afike mbali mara ngapi
Wewe mwenyewe ni chizi tayariNachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.
Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza kwenye mambo mengi anayoyafanya mpaka sasa tofauti na Dkt. Gwajima D ambaye yeye amejifua na kujifunza kuwa smart.
Napendelea utendaji wake wa sasa ambao hauna kelele ila tu una kishindo. anafuatilia kila jambo kwa umakini na pasipo kuwa na kelele.
Nimeangalia hata humu ndani kunapokuwa na jambo hasiti kujitokeza na kujumuika Jukwaani bila woga. Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF na wengi walikimbia baada tu ya kupata vyeo au nafasi mbalimbali. Huyu amekuwepoo na anashiriki debates pasipo woga kabisa.
Mimi naona ni mtu anayefaa sana kuendelea kuwa kiongozi kwa kuwa ana tabia ya kufuatilia jambo kwa kina na majibu ambayo anayatoa sasa mara nyingi ni ya kitaalamu na si ya kisiasa.
Tuendelee kumsadia kwa kumshauri na kumkosoa pale inapobidi ili mambo yaweze kwenda sawa kwa upande wake na kuendeleza uchapaji kazi mzuri.
Pia soma PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana
Naona Gwajima ameanza kampeini mapema sanaNachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.
Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza kwenye mambo mengi anayoyafanya mpaka sasa tofauti na Dkt. Gwajima D ambaye yeye amejifua na kujifunza kuwa smart.
Napendelea utendaji wake wa sasa ambao hauna kelele ila tu una kishindo. anafuatilia kila jambo kwa umakini na pasipo kuwa na kelele.
Nimeangalia hata humu ndani kunapokuwa na jambo hasiti kujitokeza na kujumuika Jukwaani bila woga. Mawaziri na Wabunge wengi hupaogokwa JF na wengi walikimbia baada tu ya kupata vyeo au nafasi mbalimbali. Huyu amekuwepoo na anashiriki debates pasipo woga kabisa.
Mimi naona ni mtu anayefaa sana kuendelea kuwa kiongozi kwa kuwa ana tabia ya kufuatilia jambo kwa kina na majibu ambayo anayatoa sasa mara nyingi ni ya kitaalamu na si ya kisiasa.
Tuendelee kumsadia kwa kumshauri na kumkosoa pale inapobidi ili mambo yaweze kwenda sawa kwa upande wake na kuendeleza uchapaji kazi mzuri.
Pia soma PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana
Naona unataka kuwa chawa wa daktari, pambana mkuu hii dunia sio sehemu salama kwa watu wavivu