Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Ummy aliacha madudu wizarani
Ummy alikuwa haijui system ya afya inavyofanya kazi kwa hiyo ilikuwa rahisi kudanganywa na asijue kuwa amedanganywa, Gwajima anaijua system ya afya a - z kwa hiyo siyo rahisi kumdanganya. Wanapojaribu kumdanganya anawaambia wazi. Hizi kelele wanazopiga ni kutaka aondolewe ili waendelee na na wizi kama business as usual.
 
Wewe utakua ni mmoja kati ya wanaofanya madudu ktk idara ya afya, tunawajuaga tu wabongo..ngoja mkome mlizoea kuhamishia madawa dukani mwenu
 
Ili kuepusha kuchambwa na huyu Waziri ACHENI KUIBA DAWA MARA MOJA.
 
Kwa hiyo huyu mama anajifananisha na field marshal Tantawi, awe mwangalifu asiwatibue sana hao madaktari maana kwa sasa hakuna kwenda kutibiwa nje sababu ya korona, asije akaishia kupiga nyungu..
 
Fildi masho kazini
 
Na sisi wananchi tumesha wasoma ninyi leo mmekubaliana mje JF kumchafua,ninyi ni watu wa idara ya afya lazima,mlizoea kupeleka madawa madukani kwenu na kua miungu watu maeneo ya kazi ngoja mnyooke
 

 
Ni kujipendekeza, she is sufferng from kujipendekeza
 
Mwacheni mama yangu apige kazi
 
wapi MAKONDA!, Naona type zile zile. TUTAREKEBISHA MBELENI KM KUTATOKEA MAKOSA
 
Kwa upande wake yeye keshasema soon wataanzisha utaratibu wa appraisal kwa watu wanaoshika nafasi za managerial posts vituo vya afya na ‘health auditing’ maana yake nini watakaguliwa uwezo wao wa ku implement na kusimamia miongozo ya uwendeshaji vituo vya afya kama inavyoelekeza na performance ya health outcome itakuwa assesed wasiokidhi vigezo vya kuendesha hospitali wajipime.

Binafsi nadhani wangeenda mbele zaidi I know it’s a lot kuanzisha an entire a watchdog organisation; but surely wizara inaweza train about 20 staff ambao ni medics na kuwajengea uwezo wa health audit kazi yao ni kuibuka kwenye ma hospitali bila ya taarifa na kukagua operations kama zipo in line na health regulations za wizara.

Kwanini wanaitaji watchdog kuna swala la tabia kubadili huwa ni issue ngumu kwa binadamu therefore a watchdog will reinforce behaviour change wakikuta upuuzi sehemu management iende muda wa kubembelezana umepitwa na wakati kama tunataka mabadiliko; that’s the only way people will learn.
 
Somo linaingia hasa Dada Dolly kaza buti..... Haraka haraka kuna thread nne za Dada dolly naziona hapa 😂😂😂 Love u dada Dolly 😍🥰🥰
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…