Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Umeandika kitu usichokifahamu kabisa.
Nani alikuambia kuna pesa za Afya za kutosha zimepelekwa huko kwenye Halmashauri?
Hivi kuna halmashauri yoyote ina dawa muhimu za kutosha kwa sasa?
Yaani halmashauri zote nchini ziibe dawa za serikali zilizopelekwa?
Yaani DED aibe dawa!

Kuijua mifumo ya sekta ya afya ni jambo moja, na kuongoza wizara ya afya ni jambo lingine tofauti kabisa. Mama Gwajima hafai kuwa waziri wa Afya. She is too local, primitive and unprofessional. Mpayukaji tu.
Say it more! She is too local, and you? Exotic? That is garbage, men! Acha mshike adabu. Wizi imekuwa ni sehemu ya kazi yenu. Hamujiongezi, hatusikii ubunifu wowote ktk hospitali. Mulichosoma chuoni ni hichochicho kila siku! Hata kujifukiza kuzuia corona ni ubunifu wa watu nje ya sekta ya afya. If the minister is too local, you are too brain locked.
 
Haya tupe kiasi cha hela ilypelekwa msd ili vituo vipate dawa kwa mwaka 2019 /20 , ukiona kituo kina dawa baadhi kimejitutumua kikanunua kwa kuitumia mapato yao ya ndani kwa kadiri inavyoweikana hii ni kwa level ya hospitali tu .kwa zahanati sio rahis maana mapato yao ni kidogo sana maana huduma zao ni karibia na bure
Ndugu wamejaribu kumuongopea kaonyesha dawa zipo those are the established facts.

Acha kutengeneza scenario to justify unethical practices, wewe kama mtaalamu uwe M.D, nurse pharmacist or any other clinician ukufundishwa siku zote unatakiwa kutoa evidence based arguments or when making health decision for patients apply available evidence.

Wote tumeona uzembe alioibua hakuna anaejua balance sheet ya hiyo hospitali so achana na hizo hoja za kitoto kutengeneza mazingira ambayo hayana evidence.

Vinginevyo leta bank statement ya ukerewe hospital ndio useme hawana hela ya kununua dawa.
 
Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Mnateua mtu wa Buza kuwa Waziri mnategemea nini ?
 
Naongelea huu anao uongelea Field Marshall, waziri wa Afya.

Uozo unaouona ni yeye kushindwa kuhudumu na kuimudu nafasi yake au ni madudu anayoibua?

Ni kweli kila anapopita Waziri anakutana na madudu yanayofanywa na watendaji wake, kuongea au kukaa kimya na kwenda kuyafanyia kazi ni hulka ya mtu, lakini pia kama kiongozi kuwaambia watendaji ukweli wa anachokijua haswa pale wanapomdanganya ni sawa.

Na kwa mambo anayokutana nayo waziri ni wazi kuwa wizara imekosa controls; ni kama vile hakuna process flows sahihi na manuals.... kitu kinachotoa mwanya kwa watendaji kufanya ubadhirifu wa mali na muda. Na kama zipo basi zina gap au hakuna monitoring

Ni bahati kwamba Waziri ni mtaalam wa sekta anayosimamia na naamini atakapokaa chini na wasaidizi wake akafanya review atakuja na suluhu

Maendeleo hayana vyama kolola 😍😍
 
Haya tupe kiasi cha hela ilypelekwa msd ili vituo vipate dawa kwa mwaka 2019 /20 , ukiona kituo kina dawa baadhi kimejitutumua kikanunua kwa kuitumia mapato yao ya ndani kwa kadiri inavyoweikana hii ni kwa level ya hospitali tu .kwa zahanati sio rahis maana mapato yao ni kidogo sana maana huduma zao ni karibia na bure
Just note; MSD na wizara ya Afya na hospitali are in a circle of thieves! MSD imekuwa ni kitovu cha wizi kwa miaka sasa!
 
Uozo unaouona ni yeye kushindwa kuhudumu na kuimudu nafasi yake au ni madudu anayoibua?

Ni madudu anayoibua, yaliyotendeka ndani ya awamu hii hii ya 5 ambayo inaongozwa na CCM Mpya.

Msingi wa swali langu ni, je CCM Mpya tuanze kuangalia ufanisi wake kuanzia lini? 2016, au 2021?
 
Ndugu wamejaribu kumuongopea kaonyesha dawa zipo those are the established facts.

Acha kutengeneza scenario to justify unethical practices, wewe kama mtaalamu uwe M.D, nurse pharmacist or any other clinician ukufundishwa siku zote unatakiwa kutoa evidence based arguments or when making health decision for patients apply available evidence.

Wote tumeona uzembe alioibua hakuna anaejua balance sheet ya hiyo hospitali so achana na hizo hoja za kitoto kutengeneza mazingira ambayo hayana evidence.

Vinginevyo leta bank statement ya ukerewe hospital ndio useme hawana hela ya kununua dawa.
Mazingira ya hospital zetu yanafanana sana ndoo maana akieda ukerewe maswa Bukoba mtwara kote huko kwa akili yako katona amegundua uozo .serikal ikiingiaza pesa ni kwa hospitali zote au vituo vya afya vyote chini sio nansio pekee
 
Tunatambua umuhimu wao, lakini nao wanapaswa kutambua umuhimu wetu, watuthamini kama binadamu wenzao, na wajue kuwa tunastahili kupata huduma bora za afya, siyo bora huduma za afya. Sisi tunaopewa huduma ndiyo tunaweza kutoa tathimini sahihi ya huduma zao.
Ni watu muhimu sana na watu tunathamini sana mchango wao ila kuna wakati hutumia vibaya hiyo nafasi na kutaka kutuona sie wengine kama wajinga.
 
Mazingira ya hospital zetu yanafanana sana ndoo maana akieda ukerewe maswa Bukoba mtwara kote huko kwa akili yako katona amegundua uozo .serikal ikiingiaza pesa ni kwa hospitali zote au vituo vya afya vyote chini sio nansio pekee
Without a bank statement it’s blah blah besides sidhani kama hospitali zitakuwa zinanunua dawa in cash wakati malipo ya bima wana pokea late; I am certain wanauziwa dawa on credit.

Either way kilichopo walitaka kumuongopea wameshindwa; mengine ni majungu tu na utetezi wa kitoto.

Kubalini tu wizara imepata field Marshall uongo wa kishamba waziri anawaumbua dakika moja tu.

Me out
 
Kwa Bongo hii, ilihitajika viongozi wa Aina hiyo angalau Kwa miaka kama kumi hivi!!
 
Habari za jioni Mama D, jana kuna thread wewe na mimi tulijadili kuhusu CCM Mpya ya mabadiliko.

Kwa ulichokiandika hapa ningependa kuuliza, tuanze kuhesabu mabadiliko kuanzia lini?

Maana inaonekana miaka mitano iliyopita haijaweza kufuta uozo kwenye sekta ya afya, tena kwa anayoyaibua huyu waziri wa sasa unaweza kusema ndiyo

Jana au juzi Bashe huko kwao kakuta mradi wa billioni mbili wa unwagiliaji ambao ushatengenezwa kwa lengo la kusambaza maji kwa hector 2000 unatumiwa na mkulima wa hector 2 mbili tu tangia ukamilike miaka 3 nyuma.

Watu walishajimegea mashamba huko mpaka ya hector 700 na wala hawana interest za kulima. Hiyo ndio serikali mliyoizoea Bashe alitumbua watu palepale muda wa nonsense umepita.

Huo ndio kama ouzo wa wizara ya afya pia tofauti yake ni technical kuelewa anachofanya kwenye trouble shooting kwa wengi.

Mfano uwezi kuwa na kitengo cha macho kina mtaalamu, ana ofisi, anapokea mshahara halafu miaka miwili akifanyi kazi kisa mashine ya millioni tano imearibika. Ndio mambo mnayotaka hayo.
Mkuu hayo unayosema ni kama marudio tu hapa jukwaani. Kwa miaka mitano iliyopita tumuona fokafoka, tumbua tumbua, karipia karipia, kick kick na kila mbwembwe kwenye serikali zikigusa wizara zote, na tukaambiwa kwa style hiyo ufisadi umekwisha, utendaji wa mazoea umekwisha na maendeleo makubwa chini ya miaka mitano ya kwanza ya Magufuli!!

Sasa Leo hii akija waziri mpya na kusema huko serikalini (Kilimo, Afya nk) kumeoza sana inabidi tushangae na kujiuliza upya, nini kilitokea hapo kabla na yeye ana kitu gani kipya cha msingi cha kuweza kufanya ili kupambana na hayo. Bahati mbaya tunaona na yeye anakuja na blah blah zile zile, kick kick, ropoka ropoka na mikwara kibao.

Sasa waziri wa Afya wa sasa amekuwa mnyapara wa kuzurura na kuvamia vituo cha afya ili kuangalia kama kuna wizi wa panadol!
Upuuzi mtupu.
 
Kaagizwa afanye hivyo anavyofanya sidhani kama kakurupuka. anainyoosha wizara.
 
Anafanya kazi nzuri sana. Majizi na mazembe kazini ndiyo yanayomchukia. Mi sijaona ubaya wake. Kama hutaki kuelekezwa na wewe ni mtumishi, basi jiajiri kaka.
 
Ni madudu anayoibua, yaliyotendeka ndani ya awamu hii hii ya 5 ambayo inaongozwa na CCM Mpya.

Msingi wa swali langu ni, je CCM Mpya tuanze kuangalia ufanisi wake kuanzia lini? 2016, au 2021?
CCM mpya ni kuanzia 2016, CCM na mwenyekiti John Pombe Joseph Magufuli

Nimekujibu kwamba haya mabadiliko na maboresho sio ya siku moja bali ni endelevu. Dada Ummy alifanya kazi na pale alipoishia dada Dorothy anaendelea. Wewe unaona kama hakuna kilichofanyika?

Dada Ummy alianza kazi hospital na vituo vya afya vichache na hizo chache hazina vitanda, madawa, watumishi...... na mengine mengi.

Kama hujaiona CCM mpya kwenye hii wizara ni sababu umedhamiria kupinga, na hajawahi teseka kwa kushindwa kujitibia kwenye private hospitals baada ya kukosa huduma serikalini.

Ukweli wa hayo mabadiliko sisi wananchi wa hali ya chini tunaotegemea government hospitals tunauona
 
Without a bank statement it’s blah blah besides sidhani kama hospitali zitakuwa zinanunua dawa in cash wakati malipo ya bima wana pokea late; I am certain wanauziwa dawa on credit.

Either way kilichopo walitaka kumuongopea wameshindwa; mengine ni majungu tu na utetezi wa kitoto.

Kubalini tu wizara imepata field Marshall uongo wa kishamba waziri anawaumbua dakika moja tu.

Me out
Taratibu za manunuzi zinaruhusu hivyo Kuwa baada ya kuletewe mzigo ndo ulipo.lakini huwezi kufanya hivyo Kama huna hela Kwenye a/c yako maana unakuwa na kufungu cha shuguli husikia
 
Akiendelea hivi atatumbuliwa madaktari Ni watu muhimu sio vizuri kuwazalilisha bila kutumia ustaarabu.
Huyuu kapaniki kuwa waziri bado wenge la kuwa waziri halijamuisha.

Akiendelea hivi lazima kamgoma baridi na hujuma katokee.
Vipi walipogoma enzi za jk mpaka watz wakafa kwa mamia.??
 
Back
Top Bottom