Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

1. ACHENI KUIBA DAWA
2. ACHENI KUNYANYASA WAGONJWA
3. ACHENI KUSEMA UONGO
4. TOENI HUDUMA KWA KUFUATA MAADILI YA KAZI ZENU.
Hawataki kukosolewa wala kuguswa yani wao wawe kama walivyo wao ndio wao,kisa wanajiona ni watu muhimu wanatibu watu.
 
Wizara ya afya ni nyeti sana kama ilivyo ya ulinzi, inahitaji utulivu na umakini sana kuiongoza.

Huyu mama ana nia njema ila njia anayotumia ya kupayuka hadharani ndio mbovu.

Asipokuwa makini ataishia njiani.

Nyerere baada ya uhuru alimchagua Dereck N M Bryceson huyu hakuwa mwanasiasa na mambo yalienda vizuri tu, baadae tatizo lilianza pale Rais alipokuwa analazimisha wana sayansi kuingia katika siasa ili wawaongoze wenzao kwa ulaghai na sio kufuata ukweli wa uhalisia kama pale Chiduo alipochaguliwa utakuta akiwa ofisini alikuwa mwanasiasa na akiingia Muhimbili alibaki kuwa.doctor huku akimlamba kisogo mwajiri wake, kitu hii imedumu kwa muda mrefu lakini mara mojamoja watu kama Dorothy huteuliwa na kuchapa kazi kama mwajiri anavyotaka lakini kamwe huwa wanadharauliwa Sana na wenzao ambao wapo kwenye field na hiyo ni kawaida toka enzi na enzi na ndio sababu ya migomo baridi ya mara kwa mara ndani ya wizara hii
 
Hawataki kukosolewa wala kuguswa yani wao wawe kama walivyo wao ndio wao,kisa wanajiona ni watu muhimu wanatibu watu.
Tunatambua umuhimu wao, lakini nao wanapaswa kutambua umuhimu wetu, watuthamini kama binadamu wenzao, na wajue kuwa tunastahili kupata huduma bora za afya, siyo bora huduma za afya. Sisi tunaopewa huduma ndiyo tunaweza kutoa tathimini sahihi ya huduma zao.
 
Unangeea utopolo tu wew uanfikiri watu wananunua dawa mda wote kwamba hela ya kufanya hivyo ipo tu MDA wote
Ni sawa na kufungua bar halafu useme unadhani mwenyewe bar muda wote ana hela ya kuweka stock za bia (can you see how shallow your point is), besides ppl can audit their income to verify kama kweli hiyo hela hawana.

Halafu sidhani kama hospitali zinanunua dawa on cash wanapata credit kutoka bohari ya dawa.

Ni hivi si rahisi kumuongopea Dr Gwajima kama walivyozoea huko nyuma kuwaongopea mawaziri na maafisa wengine wa serikari ndio maana akawaambia yeye ni field Marshall kwenye hiyo wizara na mtaalamu wa health management. Kwani uongo si walionyesha wenyewe dawa zilipo baada ya kuwakagua kwa muda mfupi tu na ndio kilichopelekea kukasirika yaani wanataka kumuongopea ata yeye anaefahamu hiyo wizara kuanzia chini mpaka juu.

Mtu mwingine wanaweza mchezea siyo yeye.
 
Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.

Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.

Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu😂😂😂 maana hakuna namna nyingine.

Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Lugola nilimpenda sana alivyokataza tochi za matakoni...
 
Mtahangaika sana mwaka huu
Jirekebisheni watumishi wa Afya (baadhi)!
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
You have a point.
 
Amesema kama unataka yeye atumbiliwe ili uchukue nafasi yake fanya kazi zaidi yake sio umfitini na kumtengenezea vijimaneno
Unataka kutuaminisha kwamba afanyayo ndiyo kazi ya Minister?Namna anavyowadhalilisha wanataaluma wenzie in front of cameras ndiyo supportive supervision?
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Acha awadhalilishe, they are good for nothing...

Sekta ya afya ni mdororo, ilihitaji waziri who is in the mold of JPM, hard nosed, bullet headed, highly charged reformer.... she is just the right fit for the job..
 
Unahitaji zawadi kwa maneno ya hekima mkuu,mawazo pevu sana hayo,maisha yetu yako kwa mungu pekee lakini kupitia madaktar maisha na afya zetu vinaimarika,so kuwa na mabadiliko ya policies kwenye wizara ya afya ni jambo busara sana,kwa watumishi na wahitaji wa huduma za afya.
 
Ni sawa na kufungua bar halafu useme unadhani mwenyewe bar muda wote ana hela ya kuweka stock za bia (can you see how shallow your point is), besides ppl can audit their income to verify kama kweli hiyo hela hawana.

Halafu sidhani kama hospitali zinanunua dawa on cash wanapata credit kutoka bohari ya dawa.

Ni hivi si rahisi kumuongopea Dr Gwajima kama walivyozoea huko nyuma kuwaongopea mawaziri na maafisa wengine wa serikari ndio maana akawaambia yeye ni field Marshall kwenye hiyo wizara na mtaalamu wa health management. Kwani uongo si walionyesha wenyewe dawa zilipo baada ya kuwakagua kwa muda mfupi tu na ndio kilichopelekea kukasirika yaani wanataka kumuongopea ata yeye anaefahamu hiyo wizara kuanzia chini mpaka juu.

Mtu mwingine wanaweza mchezea siyo yeye.
Unatia huruma kamachujui kitu Kaa kimya eti wanannunua kwa credit kutoka msd na msd tunanunua kwa credit kutoka kwa nini na ninani analipia hilo deni Kama serikali haipeleke pesa huko
 
Atanii anaposema yeye ni field Marshall kwenye hiyo wizara ni hivi:

Yeye ni M.D by trade na ame practice hiyo kazi at delivery level

Amekuwa DMO na RMO anajua how government policies ought to be implement and supervised

Amefanya kazi wizarani kama mkurugenzi wa afya responsible kutunga policies za afya

Amekuwa katibu mkuu TAMISEMI upande wa afya responsible for supervision on health outcome and quality of delivery

Na sasa ni waziri, ni M.D. na ana PHD ya health management usifanye mchezo; you can’t get a qualified person to run that ministry than her.

Dr Gwajima anaijua hiyo wizara, na wewe mleta mada ni kiazi isiojua lolote, anachofanya ni trouble shooting how things ought to work tatizo mmezoea upuuzi kwenye hiyo wizara.

Kwanini usikae kimya tuu unapoona mtu anafanya mambo ya kitaaluma kwenye sector ambayo uelewi usimamizi wake.

Dr Gwajima ni field Marshall kweli, uwezi wewe kujifananisha nae wewe ata chembe ni mpuuzi tu.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Baada ya muda na matatizo kuzidi ndio utajua vizuri huyo mama ni kiazi kibovu kabisa.
Huwezi kuendesha wizara ya Afya kwa kufoka foka na kupayuka kama anavyofanya huyu mama. Ujuaji, mikwara na mipasho haviwezi kutatua matatizo katika sekta ya afya.
 
Huyu mama kila nikiona clip yake kwenye social media huwa nai Skip haraka nisiingalie..
Mana anatia aibu sana, yan mtu professional kabisa kweny taaluma ya Afya unaongea porojo porojo tu.
Porojo wakt ukweli mnatka mpige tu nyie

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kwenye baa hagawi bia bure anahakikisha kila anayekunywa analipia ili zikiisha spate hela ya kumliapa mhudum umeme na gharama za bia yenyewe sasa huko kwetu tukaambiwa tusicharge chochote kwa Akina mama mama watoe na Waze ambao kimsingo wanaweza 80 ya mahudhurio yote ya hospitali na vituo vyote vya afya
 
Back
Top Bottom