Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini


 
Nitakufuatilia
 
Mama anajitahidi na anamaono flan lakn aproach yake mbovu na kwa nchi hii ilivyo na kwa sekta hyo ilivyo kubalisha mambo ghafla been vuu ni ngumuuu...yalipo ndani ya sekta ni tofauti na jinsi watu wanaskia nje..afya na ulinzi ni sekta ambazo zinahitaji fedha sio kutishana wala kuumizana vichwa..kwanza wiz upo kila sehem koteee wiz upo..pili hicho kina
Chosemwa kimeibwa ukiambiwa haya hichi hapa hakikai hata siku 3 kinaisha maana demand ni kubwa mnoo..yan unataka watu waendeshe hosp za serekali kama zao [emoji16][emoji16] yani waumize vichwa namna ya kukusanya mapato badala waumize vichwa namna ya kutibu wagonjwa[emoji2303] serekali iweke hela na iweke utaratibu mzur wa kusimamia na waajiriwa wapige kazi wakiwa mawe relax sio Incharge anamgonjwa wa refferal anawaza mafuta anatoa wapi aisee
 
Binafsi namuona kama baadhi ya nati zimelegea kichwani mtu gani anaongea hana mpangilio wa maneno.
 
Well said kinachokosekana kwenye sekta ya Afya Ni Utawala Bora...anchofanya Dr Gwajima Ni kujlisha upepo!
Africa is in need of strong Institutions rather than Personalities!...aliwahi kusema Prof. Obama!
 
Huyu mama ni punguani sana siku hizi anavaa mgole wa bendera begani akijinadi ni mfia nchi. Anadhalilisha sana watu huyu mama. Kwanini asiwe na vikao nao vya ndani kabla ya kuanza upupu wake. Atulize bori 84% winner hapendi ujinga atamshangaza.
 
Leo nilikuwa nadokezwa maisha yake ya ndoa alipokuwa Singida!
Alikuwa....alikuwa anaishi na boy friend fulani hivi!
Inadaiwa ulikuwa nyongo mkaa na ini na Dr. !
Mama akiwa kwenye mkutano mume alikuwa anamletea chakula ukumbini
Sijaongeza hata herufi moja kwenye huu umbra!
 
The same to her father!
Kwani enzi za Jakaya yaliwahi kutokea kama haya?
Ukipata jibu tulia.
Kwahiyo mtu akiwa mkali kwenye kazi Nongwa siyo!
Hayakuwepo mengitu mfano Zahanati nchini nzima, hospital kila wilaya na hospital za kanda.
 
Ni mzuri wa ufuatiliaji ila apunguze maneno na show off. Watu mwisho wa siku tunataka matokeo na wala hatupimi umesema maneno mangapi mbele ya kamera. Approach yake ni nzuri ila anataka publicity mno.
 
 
 
Jina lenyewe ni Gwajima halaf bado unastaajab matendo ya mama Waziri?
 
Hahah daah! Dokta, leo ilikuwa zamu yako umedhalilishwa? Pole sana sio kwa nyongo hiyo uliyoitema😆😆
 
Mbona hospitali ya taifa haina idara ya moyo. meno, mifupa na cancer? Angeanza na uundaji wa hospitali ya Taifa kwanza.
 
Huyu maza hana tofauti na Halima ndala ndefu wa buza, nonsense!
 
Hongera sana mhe. Waziri, hakika huu ni uthibitisho kuwa unachapa kazi, na pia umegusa palipo takiwa. shikilia hapo hapo usiachie wala usibabaishwe na kelele za nguchiro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mswahili sana .
Inawezekana yuko vizuri.duh ila mswahili kama mama shamte.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…