Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Mwache afanye anavyotaka, yenye si ndo boss au? Wewe umemwona huyo tu? Mbona Mambo mengi yanaenda ndivyo sivyo, tutulie, tuifanye kazi kila mmoja atimize wajibu wake
 
Hapa umelalama kwa maneno matupu bila fact, mbona hujaongelea ile ya makusanyo kabla ya mfumo na baada ya mfumo?

Waziri yupo vizuri anahitaji Marekebisho madogo madogo tu ambayo naona ni kama negligible.
 
Hapa kwa Got Homis nakukatalia.huu mtandao wa wizi ,ni mbovu sana.mimi ninao kazini lakini imenilazimu kuuacha

Kuongoza watanzania kuelekea maendeleo na mabadiriko makubwa you need to use force kubwa.mtanzania anajua kujiongeza kwelekea wizi ,kupata mshahara bila kufanya kazi.ni changamoto kubwa sana
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Una hakika hii account yako hawaja hack!!??
manake ww ni wale wale hatujakusahau......
 
Watanzania tunapenda unafki na uswahili uliopitiliza, sasa wakati wenu umefika wazee wa magumashi!
 
Akiendelea hivi atatumbuliwa madaktari Ni watu muhimu sio vizuri kuwazalilisha bila kutumia ustaarabu.
Huyuu kapaniki kuwa waziri bado wenge la kuwa waziri halijamuisha.

Akiendelea hivi lazima kamgomo baridi na hujuma katokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…