Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Wapenzi wa JPM hatupo kama nyie, tukiona ovu tunasema wazi kama alivyofanya muungwana Jane Lowassa hata Na mama D ni muungwana.

Ni kweli kila anapopita Waziri anakutana na madudu yanayofanywa na watendaji wake, kuongea au kukaa kimya na kwenda kuyafanyia kazi ni hulka ya mtu, lakini pia kama kiongozi kuwaambia watendaji ukweli wa anachokijua haswa pale wanapomdanganya ni sawa.

Na kwa mambo anayokutana nayo waziri ni wazi kuwa wizara imekosa controls; ni kama vile hakuna process flows sahihi na manuals.... kitu kinachotoa mwanya kwa watendaji kufanya ubadhirifu wa mali na muda. Na kama zipo basi zina gap au hakuna monitoring

Ni bahati kwamba Waziri ni mtaalam wa sekta anayosimamia na naamini atakapokaa chini na wasaidizi wake akafanya review atakuja na suluhu

Maendeleo hayana vyama kolola 😍😍
 
Huyu tangu day one nilishaona anafeli tu , hata baba yake kafeli kisa uongozi wa style hii ndiyo maana sasa hivi kapunguza makelele kwa watu maana aligundua wanadamu sio punda wana utashi wao ambao unapaswa kuutambua ili twende vema
 
Ni kweli kila anapopita Waziri anakutana na madudu yanayofanywa na watendaji wake, kuongea au kukaa kimya na kwenda kuyafanyia kazi ni hulka ya mtu, lakini pia kama kiongozi kuwaambia watendaji ukweli wa anachokijua haswa pale wanapomdanganya ni sawa.

Na kwa mambo anayokutana nayo waziri ni wazi kuwa wizara imekosa controls; ni kama vile hakuna process flows sahihi na manuals.... kitu kinachotoa mwanya kwa watendaji kufanya ubadhirifu wa mali na muda. Na kama zipo basi zina gap au hakuna monitoring

Ni bahati kwamba Waziri ni mtaalam wa sekta anayosimamia na naamini atakapokaa chini na wasaidizi wake akafanya review atakuja na suluhu

Maendeleo hayana vyama kolola [emoji7][emoji7]
Kwani si ninyi mnaodai eti uongozi wa JPM wezi hawapo ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madhaifu yametokea wapi sasa?
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Una point kubwa sana katika hili Jane, nadhani anahamisha stress za mahali Fulani kuzileta ofisini. Inaonekana kama katika utumishi wake aliwahi kunyanyasika kipindi Fulani kwa hiyo kapata nafasi ya kulipiza. Ulikimsikiliza anaongelea Wizi, Wizi, Wizi, Majungu, Majungu, Majungu, Fitina, Fitina, Fitina, Umbea, Umbea, Umbea.
Ukiondoa wizi hayo mengine ni maneno ya mitaani ambayo hakuna kiongozi anaweza kuyamaliza kwenye taasisi yake.
 
To hell with with nia njema
Wizara ya afya ni nyeti sana kama ilivyo ya ulinzi, inahitaji utulivu na umakini sana kuiongoza.

Huyu mama ana nia njema ila njia anayotumia ya kupayuka hadharani ndio mbovu.

Asipokuwa makini ataishia njiani.
 
Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.

CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
LUGOLA alikuja hivi hivi Polisi wakamzilia kazi, matokeo yake tuliyaona. Kaulize boda boda waliokufa kwa ajali kipindi cha LUGOLA linganisha na kipindi kama hicho wakati wa Mwigulu.
 
Hapa umelalama kwa maneno matupu bila fact, mbona hujaongelea ile ya makusanyo kabla ya mfumo na baada ya mfumo?

Waziri yupo vizuri anahitaji Marekebisho madogo madogo tu ambayo naona ni kama negligible.
Subiri muda kidogo utaona matokeo ya hizo "negligible" zako.
 
IMG_8437.JPG
 
Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.

CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
EPA, Dowans,IPTL,Meremeta,Escrow ,Kagoda na kadhalika tulielezwa kwa kina zilikwenda wapi na wahusika wapo gereza gani?
 
Kwani si ninyi mnaodai eti uongozi wa JPM wezi hawapo ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madhaifu yametokea wapi sasa?

Swala ni kwamba nyie mna kiongozi mkuu anayeweza kuyafanya anayofanya rais John Pombe Magufuli? Kama yupo ile saga ya wale19 wakiwemo wake za watendaji wakuu chama mmeshategua kitendawili au mnaendelea na hadithi za sungura kumkaba tembo? SUK je?

Hata kwenye familia yako na ukoo wako kuna walaghai, wazembe, vibaka, matapeli na hata wezi..... na kazi ya wakuu wa ukoo na familia ni kuwarudisha kwenye mstari na kuwanyoosha

Hakuna sehemu yenye utakuta watu wote wamestaarabika ndio maana kila taasisi ina sheria na taratibu zake.
Kiongozi imara ni yule anayewezayeweza kuona makosa, kuyakemea kwa gharama ya kuwawajibisha wahusika ili kuboresha ustawi wa watu wake

Viva Magufuli 👍
 
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Ukikumbana na Bi. Seneta/ Gavana mmmoja wa huko Kenya, Si ndiyo utakimbia! Bibi yule ana maneno yasiyo na soni hatari!
 
Hakuna mwanadamu anayeweza kuwafanya watu wote kuwa safi ,kazi hii hata Mungu aliiacha tu akaacha uamue mwenyewe , by the way huwezi kukosoa watu huku wewe hupendi kukosolewa mayokeo yake ndiyo haya madudu kila kona yanayoendelea kulitafuna taifa.Mzee mwenyewe kaona kazi ni ngumu katulia zake anajenga kwao ,[emoji23][emoji23] badilikeni uongozi ni kuonesha njia si kuwadictate watu wenye utashi wao.Tukosoane ila si kulazimishana kufikiri kwa namna moja
 
Back
Top Bottom