Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Ameanzisha ligi na madaktari siku akipata ajali kama ile ya Kigwangalla ndio itakuwa mwisho wa ufield marshall
 
Maji hufuata mkondo.

Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja, mwanzomwanzo utawala wa Magufuli.

Nikawa nasema huyu rais anaendekeza ubabeubabe sana zaidi ya tactical reasoning. Akaniambia baadaye kidogo kutakuja kutokea vi-Magufuli vingi vidogovidogo vitamuiga.

Ndiyo haya yanatokea sasa.Nikimuona huyu mwanamke na tambo zake zilizojaa inda isiyo na tahayari, nakumbuka maneno ya rafiki yangu yule.

Yani hata kama watu wanaiba tahadhari nyingi inatakiwa kuchukuliwa kwenye mawasiliano waziri asiwalundike wafanyakazi wote kundi moja, kufanya hivyo kutavunja morali sana na kuleta matokeo yasiyotakikana.
 
Kumbe bora hata ka dada Ummy "mtoa matangazo ya corona"kwanza Ummy Ni karembo katoto ka kitanga kale ila huyu mwehu Dr Gwajima ovyo kabisa
Ohh ho unaleta habari ya sura nzuri.umeishiwa hoja .na ndio maana gwajima alishasema sio sura nzuri.tufanye kazi.
 
Inawezekana amebeba jina GWAJIMA kama yule alieigana na mdada wa chadema kwenye uchaguzi kugombania ubunge.
 
Toka siku anazungumza pale chato mbele ya marais wetu afrika(msumbiji na Tanzania).niligundua anashida kubwa ,mfano kukung'utwa mpini ,na anajifanya anaijua idara hiyo kuliko mtuyeyote
 
Pigeni kazi acheni majungu, watu wa afya asilimia kubwa hasa hizi hospitali za serikali ovyo kweli, wameishia kuendekeza wizi wa dawa kuwaibia wagonjwa huku wagonjwa wakijifia kama kuku wa kideli mawodini mfano Hospitali ya mwananyamala na Amana.
 
Ninyi mnaomkoromea huyu mama, hivi mnafahamu madudu yaliyopo sekta ya afya?

Maujinga wanayofanya watu wengi ndio yanasababisha mtu mzima kama Dr Gwajima aonekane kama mwehu...

Watendaji wa sekta ya afya wana maujinga sana
 
Kwa style ile ya uongozi asitegemee Output nzuri hata kidogo mana hata ethics za kiungozi zaidi ya mihemko ni hatari kwa sisi wananchi kuwa na waziri kama huyo its a big shame
Tangu Magufuli aingie madarakani viongozi wa aina hiyo ndiyo anawaita wachapakazi. Lakini cha ajabu hawana impact yoyote kwenye sehemu wanazoongoza. Sana sana wanarudisha mambo nyuma.
 
Acha awanyooshe,tatizo nyie mshazoea kupiga
Uwizi na dili
Alafu huyo mama usimuone boya anaijua vzuri hiyo sekta ohooooo anajua michezo yote inayofanyika siyo mgeni tunajua sahv amekuwa chungu kwenu,mwacheni afanye kazi huko kwenye sekta sekta za afya na madawa kumejaa wapigaji tu
Huyo aliyewekwa syo ummy kwanza sekta hyo anaijua vzr

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hapana wewe ndiye una upungufu wa uelewa. Pamoja na mapungufu yaliyopo ya eekta ya afya, ila kulikuwa na wizi sana na mlizooea kuiba mno na kutoa huduma mbovu bila kujua wajibu wenu. Acha awanyooshe kabisa mlijijaza uzembe. Kikubwa mfano wa kuacha kutumia GOT HOMIS sekta ya afya inaibiwa mno. Pia waziri huyu anayo dhamira ya kazi toka moyoni mwake. Labda lile tukio la mkunga ndiyo linahitaji busara juu yake.
Huyu mleta uzi atakuwa kaguswa tu
Narudi tena huyu waziri syo ummy
Waziri wa sasa anaijua vizuri sekta ya afya na madudu yake anajua michezo yote ya upigaji
Tatizo wabongo washazoea kupigaaa washazoea dili huko makazini

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kama waliomfanyia vetting na kumpa hiyo kazi wanaridhia wewe ni nani?.
 
Acha awanyooshe,tatizo nyie mshazoea kupiga
Uwizi na dili
Alafu huyo mama usimuone boya anaijua vzuri hiyo sekta ohooooo anajua michezo yote inayofanyika siyo mgeni tunajua sahv amekuwa chungu kwenu,mwacheni afanye kazi huko kwenye sekta sekta za afya na madawa kumejaa wapigaji tu
Huyo aliyewekwa syo ummy kwanza sekta hyo anaijua vzr

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duh, huenda kipindi Mama Ummy anaendelea na kazi huku chini na wachimbaji nao walikuwa kazini...."niweke mimi pale uone moto"
 
Pigeni kazi acheni majungu, watu wa afya asilimia kubwa hasa hizi hospitali za serikali ovyo kweli, wameishia kuendekeza wizi wa dawa kuwaibia wagonjwa huku wagonjwa wakijifia kama kuku wa kideli mawodini mfano Hospitali ya mwananyamala na Amana.
Unasema ukweli. Lakini unakosea pale unaposema ''pigeni kazi acheni majungu'' bila kutambua concern ya mwanzisha thread na tunaomsapoti. Hatujakataa kuwa hospitalini kuna uzembe na ufisadi. Na hatujakataa kuwa ni lazima watu wachape kazi. Tunachohoji ni njia zinazotumika ku-address hili tatizo. Uzoefu na utaalam unaonyesha kuwa anazidi kutengeneza tatizo badala ya kulitatua. Tangu Magufuli aupate urais yeye na wengi wa wateule wake wamekuwa wanatumia hii njia ya kufoka kwenye kamera kujaribu kutatua matatizo lakini kila wanapojitahidi ndivyo mambo yanavyozidi kuwa mabaya. Mbona zipo njia nzuri tu za kushughulikia haya mambo bila kufoka kwenye kamera?
 
Una point kubwa sana katika hili Jane, nadhani anahamisha stress za mahali Fulani kuzileta ofisini. Inaonekana kama katika utumishi wake aliwahi kunyanyasika kipindi Fulani kwa hiyo kapata nafasi ya kulipiza. Ulikimsikiliza anaongelea Wizi, Wizi, Wizi, Majungu, Majungu, Majungu, Fitina, Fitina, Fitina, Umbea, Umbea, Umbea.
Ukiondoa wizi hayo mengine ni maneno ya mitaani ambayo hakuna kiongozi anaweza kuyamaliza kwenye taasisi yake.
Umemaliza. Very accurate and true.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom