ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hajapigwa miti vizuri hilo wenge ni la uhaba wa kilele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohh ho unaleta habari ya sura nzuri.umeishiwa hoja .na ndio maana gwajima alishasema sio sura nzuri.tufanye kazi.Kumbe bora hata ka dada Ummy "mtoa matangazo ya corona"kwanza Ummy Ni karembo katoto ka kitanga kale ila huyu mwehu Dr Gwajima ovyo kabisa
Ulinzi sio nyeti mzee labda mambo ya ndani, Waziri wa Ulinzi ni Ceremonial figure
Huyu kweli Field Marshall, hana simile,lakini watu sampuli hii hawataki kupinda.Kazi kwenu mliozoea kula bila kunawa.
Dawa zinaibiwa na nani mzee??? Unajua namna dawa zinavyoagizwa lakini ? Dawa zenyewe haziji za kutosha wewe utaiba kitu ambavyo haitoshi????Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.
CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
Tangu Magufuli aingie madarakani viongozi wa aina hiyo ndiyo anawaita wachapakazi. Lakini cha ajabu hawana impact yoyote kwenye sehemu wanazoongoza. Sana sana wanarudisha mambo nyuma.Kwa style ile ya uongozi asitegemee Output nzuri hata kidogo mana hata ethics za kiungozi zaidi ya mihemko ni hatari kwa sisi wananchi kuwa na waziri kama huyo its a big shame
Kabisa mkuuOngezea na uhusiano wa kimataifa hapo kwenye nyeti
Huyu mleta uzi atakuwa kaguswa tuHapana wewe ndiye una upungufu wa uelewa. Pamoja na mapungufu yaliyopo ya eekta ya afya, ila kulikuwa na wizi sana na mlizooea kuiba mno na kutoa huduma mbovu bila kujua wajibu wenu. Acha awanyooshe kabisa mlijijaza uzembe. Kikubwa mfano wa kuacha kutumia GOT HOMIS sekta ya afya inaibiwa mno. Pia waziri huyu anayo dhamira ya kazi toka moyoni mwake. Labda lile tukio la mkunga ndiyo linahitaji busara juu yake.
Duh, huenda kipindi Mama Ummy anaendelea na kazi huku chini na wachimbaji nao walikuwa kazini...."niweke mimi pale uone moto"Acha awanyooshe,tatizo nyie mshazoea kupiga
Uwizi na dili
Alafu huyo mama usimuone boya anaijua vzuri hiyo sekta ohooooo anajua michezo yote inayofanyika siyo mgeni tunajua sahv amekuwa chungu kwenu,mwacheni afanye kazi huko kwenye sekta sekta za afya na madawa kumejaa wapigaji tu
Huyo aliyewekwa syo ummy kwanza sekta hyo anaijua vzr
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Unasema ukweli. Lakini unakosea pale unaposema ''pigeni kazi acheni majungu'' bila kutambua concern ya mwanzisha thread na tunaomsapoti. Hatujakataa kuwa hospitalini kuna uzembe na ufisadi. Na hatujakataa kuwa ni lazima watu wachape kazi. Tunachohoji ni njia zinazotumika ku-address hili tatizo. Uzoefu na utaalam unaonyesha kuwa anazidi kutengeneza tatizo badala ya kulitatua. Tangu Magufuli aupate urais yeye na wengi wa wateule wake wamekuwa wanatumia hii njia ya kufoka kwenye kamera kujaribu kutatua matatizo lakini kila wanapojitahidi ndivyo mambo yanavyozidi kuwa mabaya. Mbona zipo njia nzuri tu za kushughulikia haya mambo bila kufoka kwenye kamera?Pigeni kazi acheni majungu, watu wa afya asilimia kubwa hasa hizi hospitali za serikali ovyo kweli, wameishia kuendekeza wizi wa dawa kuwaibia wagonjwa huku wagonjwa wakijifia kama kuku wa kideli mawodini mfano Hospitali ya mwananyamala na Amana.
Umemaliza. Very accurate and true.Una point kubwa sana katika hili Jane, nadhani anahamisha stress za mahali Fulani kuzileta ofisini. Inaonekana kama katika utumishi wake aliwahi kunyanyasika kipindi Fulani kwa hiyo kapata nafasi ya kulipiza. Ulikimsikiliza anaongelea Wizi, Wizi, Wizi, Majungu, Majungu, Majungu, Fitina, Fitina, Fitina, Umbea, Umbea, Umbea.
Ukiondoa wizi hayo mengine ni maneno ya mitaani ambayo hakuna kiongozi anaweza kuyamaliza kwenye taasisi yake.