Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

AMEEEN kwa herufi kubwa.
Mitano kwanza ilikuwa na Komando LUGOLA,
Mitano tena ina Field Marshal GWAJIMA.
KUN MOTO KUN FAYA
 
Wewe unaona Wizara ya Afya inahtaji Field Marshal??
 
Pigeni kazi acheni majungu, watu wa afya asilimia kubwa hasa hizi hospitali za serikali ovyo kweli, wameishia kuendekeza wizi wa dawa kuwaibia wagonjwa huku wagonjwa wakijifia kama kuku wa kideli mawodini mfano Hospitali ya mwananyamala na Amana.
Hivi hii serikali inapeleka kiasi gani hadi ziibiwe na nyingine zibaki?
 
Chief samahani, kuna sehemu kwenye wasifu wake kumeonensha yeye ana PhD? Au ni MPH?
 
Kwanini hospital iwaambie watu paracetamol zimeisha wakati yeye kutokana na skills zake za kukagua kakuta wanazo; halafu hata yeye mtaalamu walitaka kumuongopea si ndio ujinga huo wanataka watu waende kwenye pharmacy zao wakawalangue.

Ndio maana akawaambia awawezi kumuongopea yeye anajua kukagua na ni field Marshall kwenye hiyo wizara.

Halafu unakuta jitu linamuona waziri anatafuta sifa wakati kuna mijitu huko kwenye vituo vya afya aina maadili ya kazi.
 
Ni ngumu kuielewa sekta ya Afya. Ni kweli kuna matatizo ya watumishi, lakini kuna matatizo makubwa zaidi ya kimfumo na kiutawala hususani kwenye miundombinu ya vifaa tiba na dawa.
Tuliza akili,halafu jaribu kung’amua hayo kwenye pande zote mbili. Trust me,akiongea kiongozi utaona 100% watumishi wana matatizo lakini pia hao watumishi wakipewa nafasi ya kuzungumza utagundua pia upande wa pili una matatizo makubwa sana.
 
Other than being a qualified M.D ana PhD pia ya Health Management unajua wanasomea mambo gani?
Ndio maana nikauliza,una uhakika ana PhD au MPH?! Maana kwenye wasifu wake wa Tamisemi haioneshi kama ana PhD
 
So far Dr Gwajima amekuwa akionyesha mostly inappropriate operation methods which provides a window for embezzlement na unethical medical practices.

Hakuna mahala kafokea madokta kwa kazi zao anajua changamoto zao; ila kupeleka wagonjwa guest au kutandika wagonjwa vibao sio mambo ya kuvumiliana.

Watu wanataka awakalie kimya wakati operation za huduma za afya ni ovyo mno.

Ni hivi not all but many professionals could be prosecuted for medical negligence kuna baadhi ya mijitu aijali health outcome za wateja as far as they are concerned they are doing us a favour na majigambo unajua nimesoma kwa miaka mingapi tuliwalazimisha kusomea huo daktari si walitaka wenyewe.

Halafu kwanini walienda kula viapo vya maadili ya kazi wakati wanatuchukulia wateja poa.

Someone has to sort that nonsense, nataka siku nikienda hospitali nikifa iwe kweli there is nothing they can, sio kwa sababu ya uzembe wa proffesionals.
 
Ndio maana nikauliza,una uhakika ana PhD au MPH?! Maana kwenye wasifu wake wa Tamisemi haioneshi kama ana PhD
It doesn’t matter masters or doctorate ndio yale yale muhimu anaijua hiyo sector. Besides sio tu kasomea public health amefanyia kazi hiyo knowledge that counts the most work experience ni muhimu kushinda PhD without work experience.
 
Itakuwa anasumbuliwa na Strepteccocal meningitis sio bure huyu mama ni too much F...ck
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa na kumnanga mwanaccm mwenzako!! Maana yake unampinga Mwenyekiti wako wa chama aliyemteua?
 
It doesn’t masters or doctorate ndio yale yale muhimu anaijua hiyo sector. Besides sio tu kasomea public health amefanyia kazi hiyo knowledge that counts the most work experience kushinda mtu mwenye PhD without work experience.
So tumekubaliana hana PhD ila ana MPH na experience ya kutosha. Mengine nimekuelewa.
 
Hii post akiina Magu lazima akumbushie ile kauli yake ya 'nikamteua waziri kichaa kama mimi'!
Kwa ufupi mama anapiga kazi, kila anapoenda uozo tu! Lakini hata sisi Watanzania inabidi ifike hatua tuone aibu kuwaibia wagonjwa.
 
Ndio matatizo ya wasukuma na ushamba wao.
 
Acha mnyoooshwe ninyi madokta na wafamasia mliozoea kuiba iba dawa zetu. usikute wewe ni mfamasia unataka tukuonee huruma hapa. Ndugu waziri fanya kazi yako
Wewe jamaa wafamasia wamegugegedea mkeo au?..
 
Hiyo haiba ya utemi na kujiona bora kiuongozi haiko kwa Dr Dorothy Gwajima peke yake.

Nenda uwaangalie Waziri wa Maji - Jumaa Aweso na Naibu wake

Nenda Tamisemi kwa Jafo na Naibu wake Bwana Silinde

It seems wamechagua kufanya kazi namna hiyo ili kumuimpres boss wao

Imbombo ngafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…