Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mmoja wa wajinga wasomi yumo humu....Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.
Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.
Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.
Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?
Kweli walimshika jamaa? Sidhani. Kwasababu watanzania hawasomagi vitabu kwa hiyo hana tishio loloteKuna dokta mmoja pale Muhimbili aliniambia huyu Dkt. Dyaboli alifukuzwa kazi pale Mhimbili miaka kadhaa nyuma kwasababu ya uandishi wake, hasa hicho kitabu cha Wasomi Wajinga.
Ila juzi kati hapa nimeskia eti jamaa alikamatwa kimyakimya na wanausalama kwa madai kwamba kitabu chake kinachochea uhaini na mpaka sasa haijulikani aliko.
For the record; naskia huyu jamaa ni msomi mzuri sana ana PhD ya uponyaji wa asili, udodosi wa akili na falsafa na alisoma Egypt huko.
Sijui kwanini Afrika haiwapendi wasomi kama hawa. Ukisoma hicho kitabu cha Wasomi Wajinga, aisee huyu jamaa akili yake sio ya kawaida. Ni levo flani za akina Profesa Euphrase Kezilahabi, Ngugi wa Thiong'o na Chinua Achebe.
Kuna siri nyingi za michezo ya serikali zimefichuliwa ndani ya hiki kitabu ila kama na wewe ni msomi mjinga huwezi kuambulia kitu humo
Nahitaji hcho kitabu kinapatikana wap?Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.
Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.
Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.
Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?
Mkuu ushakipata kitabu?Nahitaji hcho kitabu kinapatikana wap?
Hii ndege haijatoka madagaska kweli?
Umesoma?Ni kweli taifa letu limejaa wasomi wajinga,na si wajinga tu,bali ni wajinga na wapumbavu.
Umeona tunakupotezea sasa unajipromoJuzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.
Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.
Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.
Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?
Yale majani yetu...vp yanahusika?Kuna Dr mmoja pale ud sijui somo analofundisha halina mbadala hapa tz, yaani jamaa ni mkorofi balaa na hakuna wanachoweza kumfanya, hajaajiriwa na chuo Moja kwa Moja nadhani ni department tu wanamlipa anafanya part time na anafundisha kozi Hio Hio
Jamaa Kuna siku nawahi department sijui nilikua na ishu Gani nakuta jamaa kavua shati ofisi ya mkuu wa department anadai mshahara wake umechelewa😃😃😃😃