Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

Nimekipata
Ndiyo nimemaliza kukisoma. Hajafikia level ya Prof. Kezilahabi kifalsafa na hata kiuandishi lakini yuko mbioni. Ni tamthiliya inayopaswa kusomwa kwa uangalifu na ni wazi inapiga nyundo sana sawa tu na Kaptula la Marx ya Kezilahabi. Kizibo sijui anaweza kumwakilisha Nyerere au Magufuli; na Madalena nadhani ni Mama. Falsafa ya tapo la Existentialism inachomoza hapa na pale - maisha yanachekwa pamoja na wayaishiyo. Hata urafiki uliopo baina ya Shetani na Mungu unasailiwa pamoja na michezo mingine ya maisha. Ni kitabu kizuri sana japo hakitakaa kisomwe mashuleni!
Screenshot_20240416_084341_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_084304_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_083335_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_083027_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_083005_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_082800_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_082415_OfficeSuite.jpg
Screenshot_20240416_044506_OfficeSuite.jpg
 
Ndiyo nimemaliza kukisoma. Hajafikia level ya Prof. Kezilahabi kifalsafa na hata kiuandishi lakini yuko mbioni. Ni tanthiliya inayopaswa kusomwa kwa uangalifu na ni wazi inapiga nyundo sana sawa tu na Kaptula la Marx ya Kezilahabi. Kizibo sijui anaweza kumwakilisha Nyerere au Magufuli; na Madalena nadhani ni Mama. Falsafa ya tapo la Existentialism inachomoza hapa na pale - maisha yanachekwa pamoja na wayaishiyo. Hata urafiki uliopo baina ya Shetani na Mungu unasailiwa pamoja na michezo mingine ya maisha. Ni kitabu kizuri sana japo hakitakaa kisomwe mashuleni!View attachment 2965171View attachment 2965172View attachment 2965173View attachment 2965174View attachment 2965175View attachment 2965176View attachment 2965177View attachment 2965178
Kwamba vimepata "Menstrual Cramps" daah noma sana
 
kaka, kama unakitabu chake kingine cha Dkt.Dyaboli unaweza share na sisi. Asante.
 
Back
Top Bottom