Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

Nimekipata
Ndiyo nimemaliza kukisoma. Hajafikia level ya Prof. Kezilahabi kifalsafa na hata kiuandishi lakini yuko mbioni. Ni tamthiliya inayopaswa kusomwa kwa uangalifu na ni wazi inapiga nyundo sana sawa tu na Kaptula la Marx ya Kezilahabi. Kizibo sijui anaweza kumwakilisha Nyerere au Magufuli; na Madalena nadhani ni Mama. Falsafa ya tapo la Existentialism inachomoza hapa na pale - maisha yanachekwa pamoja na wayaishiyo. Hata urafiki uliopo baina ya Shetani na Mungu unasailiwa pamoja na michezo mingine ya maisha. Ni kitabu kizuri sana japo hakitakaa kisomwe mashuleni!
 
Kwamba vimepata "Menstrual Cramps" daah noma sana
 
kaka, kama unakitabu chake kingine cha Dkt.Dyaboli unaweza share na sisi. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…