CCM wote ni sawaTime will tell. Nchimbi hana tofauti na wenzake. Sana sana atatumia ubabe/police na kiwezekana ujambazi kama wa Makonda/Sabaya kuonekana anafanya kazi ya kuwadhibiti wapinzani particularly chadema!
Mbali na hilo hana jipya kutoka kwenye mental faculties za kuleta utofauti na wenzake
Kundi la Lowasa. umesahauHahah Nchimbi yupo nje ya makundi?
Hebu futa hii maneno mzee baba, huyu ni CCM kundi la bao la mkono, siasa za kina jeikei...
Sijui nitakuwa sifahamu vizuri .
KM watu huyu alikua team ya safari ya matumaini. Ambayo ilihitimishwa 2015 timu yote ikasambaratika na wengine wakaunga mkono juhudi na wengine wakapotea moja kwa moja akiwepo na huyu wa leo.
Timu ya watoto wa mjini wakawa wapo kwenye ligi na timu ya bush iliyokua ina run , timu bush ikapata mushkel ikatolewa kwenye reli, kwa mbali ama nyuma ya timu ya watoto wa mjini wakawa wana run nadhani mpaka sasa
kumezaliwa pia timi ya visiwani nayo inataka kuitoa timu ya watoto wa mjini washike haramu wao moja kwa moja, bado timu ya bush hawakubaliani na kilicho tokea kwa hiyo tuna timu tatu zinazopambana ambazo zote New KM hayupo.
Nisahihishwe tafadhali.
kundi la Lowasa. umesahau
Du umeibuka mzee!!!!Kati ya vitu wanasiasa wa CCM wanaweza ni kujishusha pale mambo yanapokuwa magumu lakini si kusambaratika...Huwa wana siasa za mtandao ambazo kuua mtandao ni ngumu mno...
Ndani ya chama cha kijani baada ya mzee wa Mwitongo, anayefuata kwa nguvu ni mzee wa bwagamoyo (kuna kitu kinaitwa tambiko la bwagamoyo)
Kwa mtazamo wangu timu ya bush was just by the way, ilikuwa ni retaliation ya mnyukano baina ya mtandao wa timu ya mjini, ili kukosa wote basi walio na hatamu wakati huo wakatia kitumbua mchanga ili wakose wote...
CCM ipo bara mkuu...
Huyu mtu hapendwi na wasaka Urais CCM. Sio kuwa hawakutaka awe katibu Mkuu tu bali pia hawakutaka hata arejee humu nchini.
Mzee wa mikoba ya kichawi,team Lowassa,muuwaji wa Ipi Malecela na Amina Chifupa.Jamaa ana wivu mno.Makonda ajilinde sana la sivyo atapelekwa kuzimu kabla ya siku zake.
Sasa uchunguzi ungemrudisha mwanae?Mzee Malecela kama kifo cha mtoto wake kilikuwa na utata kwanini hakukomalia uchunguzi wakati yeye ni mtu mzito?