Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenye kujua Mheshimiwa aliwezaje kupenya mpaka kupata nafasi kubwa vile kwenye Chama?

Pia, mwenye kujua elimu yake (ya juu kabisa), uzoefu kwenye Chama na kimataifa. Ukilinganisha na Dr. Balozi Comrade Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi (PhD).. Asanteni.
 
Time will tell. Nchimbi hana tofauti na wenzake. Sana sana atatumia ubabe/police na kiwezekana ujambazi kama wa Makonda/Sabaya kuonekana anafanya kazi ya kuwadhibiti wapinzani particularly chadema!

Mbali na hilo hana jipya kutoka kwenye mental faculties za kuleta utofauti na wenzake
 
CCM wote ni sawa
 
Sijui nitakuwa sifahamu vizuri .
KM watu huyu alikua team ya safari ya matumaini. Ambayo ilihitimishwa 2015 timu yote ikasambaratika na wengine wakaunga mkono juhudi na wengine wakapotea moja kwa moja akiwepo na huyu wa leo.

Kati ya vitu wanasiasa wa CCM wanaweza ni kujishusha pale mambo yanapokuwa magumu lakini si kusambaratika...Huwa wana siasa za mtandao ambazo kuua mtandao ni ngumu mno...

Ndani ya chama cha kijani baada ya mzee wa Mwitongo, anayefuata kwa nguvu ni mzee wa bwagamoyo (kuna kitu kinaitwa tambiko la bwagamoyo)

Timu ya watoto wa mjini wakawa wapo kwenye ligi na timu ya bush iliyokua ina run , timu bush ikapata mushkel ikatolewa kwenye reli, kwa mbali ama nyuma ya timu ya watoto wa mjini wakawa wana run nadhani mpaka sasa

Kwa mtazamo wangu timu ya bush was just by the way, ilikuwa ni retaliation ya mnyukano baina ya mtandao wa timu ya mjini, ili kukosa wote basi walio na hatamu wakati huo wakatia kitumbua mchanga ili wakose wote...

kumezaliwa pia timi ya visiwani nayo inataka kuitoa timu ya watoto wa mjini washike haramu wao moja kwa moja, bado timu ya bush hawakubaliani na kilicho tokea kwa hiyo tuna timu tatu zinazopambana ambazo zote New KM hayupo.
Nisahihishwe tafadhali.

CCM ipo bara mkuu...
 
Kati ya vitu wanasiasa wa CCM wanaweza ni kujishusha pale mambo yanapokuwa magumu lakini si kusambaratika...Huwa wana siasa za mtandao ambazo kuua mtandao ni ngumu mno...

Ndani ya chama cha kijani baada ya mzee wa Mwitongo, anayefuata kwa nguvu ni mzee wa bwagamoyo (kuna kitu kinaitwa tambiko la bwagamoyo)

Kwa mtazamo wangu timu ya bush was just by the way, ilikuwa ni retaliation ya mnyukano baina ya mtandao wa timu ya mjini, ili kukosa wote basi walio na hatamu wakati huo wakatia kitumbua mchanga ili wakose wote...

CCM ipo bara mkuu...
Du umeibuka mzee!!!!
Long time!
 
Kama mnadhani nchi inahitaji raising basi Dr Emmanuel Nchimbi. Vijana wengi ni wachumia tumbo lkn Emma ni mtu na nusu.
 
Huyu mtu hapendwi na wasaka Urais CCM. Sio kuwa hawakutaka awe katibu Mkuu tu bali pia hawakutaka hata arejee humu nchini.
 
1e3b2366-2c12-45d4-a905-8c6a38b0b0d7.jpeg
 
Mzee wa mikoba ya kichawi,team Lowassa,muuwaji wa Ipi Malecela na Amina Chifupa.Jamaa ana wivu mno.Makonda ajilinde sana la sivyo atapelekwa kuzimu kabla ya siku zake.

Mzee Malecela kama kifo cha mtoto wake kilikuwa na utata kwanini hakukomalia uchunguzi wakati yeye ni mtu mzito?
 
Back
Top Bottom