Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umri umepunguza sana kuzidi wachezaji wa Simba na Yanga.
Atakuwa na 54 siyo 44.
 
Mmmh! Siasa zinaenda kupita kipindi kigumu. Chadema pangeni upya safu ya viongozi, bila ukorofi wa Dr Slaa, Jeuri ya Lissu, akili ya Mnyika, ubabe wa Mbowe, hekima za Prof Baregu na harakati za MM Mwanakijiji kutoboa ni ngumu.
 
Kwa sasa CHADEMA wameshavurugwa akili zao maana hawaelewi washike lipi au wajadili maandamano au waende kamati kuu nzima kwenye mdahalo na mheshimiwa Makonda au wajadili uteuzi wa Mheshimiwa Emmanueli Nchimbi kuwa katibu Mkuu wa CCM .
 
Kuna pumbavu hapa lilituletea habari eti diaspora ndiye anaenda kupewa nafasi ya ukatibu mkuu! Hovyo kabisa! Kuna majitu yanajifanyaga kujua pumbavu!
 
Kuna pumbavu hapa lilituletea habari eti diaspora ndiye anaenda kupewa nafasi ya ukatibu mkuu! Hovyo kabisa! Kuna majitu yanajifanyaga kujua pumbavu!
Mimi mwenyewe nilipinga habari ile ya uongo yenye hoja za uzushi na uongo na zisizo ingia akilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…