ANT - NYONDENYONDE
Senior Member
- Jul 29, 2024
- 154
- 173
😂😂😂Bado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
Ulete habari zilizokamilika si tetesiKila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Mungu ibariki CCM.
Lete zako, Habari zote zinaanza kama tetesiUlete habari zilizokamilika si tetesi
Mtu mmoja (Chawa mmoja) anakuja na IDs tofauti kumtabiria mtu kushika kila nafasi.Angesema britanicca , sawa. Lkn wewe uliyekuja kibingine na id mpya!!
We bwana hebu wachana na home boy wezereee🤣🤣🤣🤣Kwahiyo walimficha ili apigwe chale kwenye lile wezere lake asije akaliwa nyama na Baba Yake February.
It's now a battle of the supernatural😂😂.
May the bigger mchawi win.
Huku Gambosh kwa msaada wa Wete na huku kwingine Kwa Msisi.
Moja kwa moja kwenye maudhui.Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
🤣🤣🤣Kumetokea Nini Mtumishi ?
Pastor Kuna Muujiza Mpya Huku
Haya Mlete Huku Mbele.....