Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Kwahiyo walimficha ili apigwe chale za kinga kwenye lile wezere lake ili asije akaliwa nyama na Baba Yake February.

It's now a battle of the supernatural😂😂.
May the bigger mchawi win.
Huku Gambosh kwa msaada wa Wete na huku kwingine Kwa Msisi.
 
Kwahiyo walimficha ili apigwe chale kwenye lile wezere lake asije akaliwa nyama na Baba Yake February.

It's now a battle of the supernatural😂😂.
May the bigger mchawi win.
Huku Gambosh kwa msaada wa Wete na huku kwingine Kwa Msisi.
We bwana hebu wachana na home boy wezereee🤣🤣🤣🤣
 
Moja kwa moja kwenye maudhui.

Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa.

Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo habari ya mjini, kutokana na hilo mkuu wa nchi amepanga kufanya mabadiliko ya Baraza, Wakurugenzi, Ma DC, lengo ikiwa ni kuizima habari ya CHADEMA ambayo imekuwa inabamba kwa sasa.

Katika uteuzi huo anatarajiwa kupata teuzi msanii mmoja wa Comedy ambaye hana elimu ya kutosha kushika nafasi ambayo haikutarjiwa na wengi.

Huyo atakuwa centre ya mjadala wa teuzi hizo ili watu waache kujadili habari ya CHADEMA.

Nani huyo msanii? Bambo, MUHOGO Mchungu, Ntanga Kanjibai au Joti?

Stay tuned.
 
Back
Top Bottom