Kabisa, nyani ni walewale, msitu ndio tofauti.Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Bei imepanda 20kWewe mbona huwezi namba ya simu? Mwenzako anamalizia na namba ya simu inakuwa rahisi kumrushiwa buku saba zake. Weka namba na wewe
Kumbe Emmanuel Nchimbi ni pimbiHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Anawananga wazee wa LegasiHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
πππ¨ Legacy π€ͺπ€ͺKumbe Emmanuel Nchimbi ni pimbi
Sijui alituonaje yeye na Chawa wake.Maana yule Jamaa ,duu ilikuwa ndio nyimbo za vyombo vyote vya habari ππππ€£π€£π€£
Hapo anamzungumzia Magufuli..Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Amekuja kukanyaga Legasi kisawasawaKumbe Emmanuel Nchimbi ni pimbi
Huyu jamaa nilijua ana akili kumbe walewale ng'ombe na mkia Wake.Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
πππ¨ Legacy imeguswa π€£π€£π€£π€£Huyu jamaa nilijua ana akili kumbe walewale ng'ombe na mkia Wake.
Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka @johnthebaptist atakuwa anamfahamu
Wenye akili Huwa wanaacha mda unatoa majibu ,ropo ropo ndio Huwa wananyolewa na hawadumu π€£π€£Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!
RIP Jiwe, RIP Simba wa Yuda. Forever in our hearts.Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Hata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?Ukiondoa kupoteza bandari mama amejitahidi.msidanganywe bandar imeenda
Kama ulivosema unasikia kaka waulize walikuwa wanamwaga hela za nini kwa msukuma .ndege yetu waliishikilia mm wa mamlaka gani mkuu wa nchi akarudi na private jiongezeHata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?
Nasisitiza hakuna kibaya amefanya ni vile wengi mna akili fupi tuu.
Mbona una hasiraHuyu jamaa nilijua ana akili kumbe walewale ng'ombe na mkia Wake.
Mwanaume ni Tundu Lissu tu.Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!
Sjatukana nionyeshe tusi.Hiyo sio kazi ni kitu I feel proud kama wewe unavysikia Raha kutukana ππ
Sijajua unapata Raha au unajitwisha mzigo wa stress ππ