Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?

Nasisitiza hakuna kibaya amefanya ni vile wengi mna akili fupi tuu.
Chawa kama chawa.
 
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁

Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu kaja kuvuruga chama;JPM aliwaweka pembeni watu wa ovyo wengi sana na wengi Samia anawarudisha,subirini moto uwake!
Samia ataondolewa kwenye kiti kwa aibu kubwa sana!
 
Huyu kaja kuvuruga chama;JPM aliwaweka pembeni watu wa ovyo wengi sana na wengi Samia anawarudisha,subirini moto uwake!
Samia ataondolewa kwenye kiti kwa aibu kubwa sana!
Aondolewe na nani Kwa mfano? Legacy πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Hakuna pambio ambalo halikuimbwa, tumepitia mengi acha tu!
Kwani Samia aimbwi?
βœ“Nani kama Mama
βœ“Mama anaupiga mwingi
βœ“T-shirt za Samia love
Tofauti ya Magufuli na Samia ni kuwa Samia sifa zake ni fake wakati Magufuli alikuwa anafanya vitu vinaonekana!
 
Atutajie hayo makubwa ni yapi?
Naona unajitoa ufahamu na kuvaa miwani ya mbao πŸ˜‚πŸ˜‚
-Maelfu ya Ajira
-Maelfu ya miradi ya maji
-Mafanikio sekta ya michezo
-Ameleta mapinduzi makubwa sekta ya Afya
-Ameleta mapinduzi na mageudi makubwa sekta ya Elimu
-Ameirudisha heshima ya Kilimo
-Ameirudisha Diplomasia ya Tanzania iliyohatibiwa
-Mafanikio mkubwa kwenye Utalii
-Mafanikio makubwa kwenye miundombinu kuanzia viwanja vya ndege, Bandari Hadi Barabara
-Ameweka rekodi ya kukusanya pesa nyingi haijawahi tokea
-Mafanikio mkubwa kwenye biashara, uwekezaji,viwanda na Uchumi

View: https://www.instagram.com/p/C2K1knTvEIr/?igsh=MWI2azlrNW05enRyag==
Hayo ni Baadhi tuu ambayo yalimshinda Mwendazake akisingizia Sgr,bwawa na blaa blaa zingine zisizo na msingi 🀣🀣🀣

View: https://www.instagram.com/p/C2JwdLot0EP/?igsh=MWhmbzNobjM5b2h3bA==
 
Hakuna kitu kinachoonekana kwa macho hapo zaidi ya porojo barabara kibao za mitaa Dar es salaam zimesimamishwa toka 2021 watu wanapita kwenye madibwi kama vyura
 
Hakuna kitu kinachoonekana kwa macho hapo zaidi ya porojo barabara kibao za mitaa Dar es salaam zimesimamishwa toka 2021 watu wanapita kwenye madibwi kama vyura
Naona unajitoa ufahamu 😁😁😁😁
Chuki inakusumbua ndio maana huoni 🀣🀣

View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=evQoX4uU8XUFPAQH
Hutaki kuona au siyo? Tutakuonesha tuu πŸ€ͺπŸ€ͺ

View: https://youtu.be/c1q7pMsiyOI?si=ujzsFOBJBGwTZCGE
View: https://youtu.be/PkqLXLwBsKk?si=Opy5yLGp2ywzFJVi
Niendelee kukuonesha? Taja sekta ujazotaka uoneshwe maana miradi ni Mingi Kila Kona Kila sekta yaani ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ na hatujigambi kama yule mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…