-Maelfu ya Ajira
-Maelfu ya miradi ya maji
-Mafanikio sekta ya michezo
-Mafanikio makubwa sekta ya Afya
-Mafanikio makubwa sekta ya Elimu
-Ameirudisha heshima ya Kilimo
-Ameirudisha Diplomasia ya Tanzania iliyohatibiwa
-Mafanikio mkubwa kwenye Utalii
-Mafanikio makubwa kwenye miundombinu kuanzia viwanja vya ndege, Bandari Hadi Barabara
-Ameweka rekodi ya kukusanya pesa nyingi haijawahi tokea
-Mafanikio mkubwa kwenye biashara, uwekezaji,viwanda na Uchumi
Hayo ni Baadhi tuu ambayo yalimshinda Mwendazake akisingizia Sgr,bwawa na blaa blaa zingine zisizo na msingi 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C2JwdLot0EP/?igsh=MWhmbzNobjM5b2h3bA==