Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa wajinga kichwani wamejaa majeneza tupuChawa mnaboa Sana.
Hata 7ya angechaguliwa kua katibu mkuu wa CCM , mngesema naye amefanya makubwa, Hana makuu, nimchapa kazi na ana maadili mema.
Ila sijawahi kusikia mkisifia pampas.
Wapi nimemtaja Samia. Baba yangu anaingiaje hapa?Kinachokutesa wewe I kuona Samia anasifiwa.Haya baba Yako kafanya makubwa
Mkuu serikali haikuwahi kuacha kutekeleza majukumu yake ya msingi? Wasipojenga hizo barabara mara sijui kuweka vitanda hospitalini ulitaka wafanye nini au nani afanye?Sio tuu picha nawapa Hadi Video.Kwa Sasa Kijijini ni kama mjini
Kazi nzuri ya Mama Kijijini Busokelo
View: https://youtu.be/39hY-20MKl8?si=IXY6aFXXYdUyMFqL
Soma hiyoo 👇
View attachment 2874181View attachment 2874182
Nchimbi ameingia na mguu wa bahati mbaya, hakuwa na haja ya kusema etiHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Moja ya kauli mbovu kabisa toka kwa kiongozi mkuu mtendaji wa chama. Hakika sisi kama wanachama hatukutegemea aanze na kumsimanga marehemu Dkt Magufuli. Yaani Dkt Nchimbi kajiharibia sana, yaani badala ya kuiga ya Professor Makonda, yeye anaanza mtindo wa siasa za kugawa watu??????? Yaani this dude kwa weli naona kabisa hatudumu ktk hiyo nafasi. Nchimbi anafaa kuwa Makamu wa rais lakini siyo katibu mkuu.Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Legacy imeguswa 🤣🤣,kwani amemtaja mtu?Nchimbi ameingia na mguu wa bahati mbaya, hakuwa na haja ya kusema eti
Moja ya kauli mbovu kabisa toka kwa kiongozi mkuu mtendaji wa chama. Hakika sisi kama wanachama hatukutegemea aanze na kumsimanga marehemu Dkt Magufuli. Yaani Dkt Nchimbi kajiharibia sana, yaani badala ya kuiga ya Professor Makonda, yeye anaanza mtindo wa siasa za kugawa watu??????? Yaani this dude kwa weli naona kabisa hatudumu ktk hiyo nafasi. Nchimbi anafaa kuwa Makamu wa rais lakini siyo katibu mkuu.
Samia anatekeleza Kwa Kasi kubwa ,mfano hui hapa 👇Mkuu serikali haikuwahi kuacha kutekeleza majukumu yake ya msingi? Wasipojenga hizo barabara mara sijui kuweka vitanda hospitalini ulitaka wafanye nini au nani afanye?
Unataka tuone bongo kama ulaya kisa kuwekwa vitanda hospitalini?
Nchimbi aliwahi msifia lini? Utamsifia mtu hana akili?Waliomsifia ndio hawa hawa wanaomkejeli sasa.
Mishavu kuvimba Nchimbi.
Sawa endeza kukaa kimya ndio uongozi huoHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Kwa hiyo unamsia Makamba ukamuacha Samia?Mpaka Sasa MTU anayestahili kusifiwa Ni ndugu January Makamba. Ndani ya muda mfupi dogo amefanya makubwa Sana TANESCO. Jana wenyewe mmeona wakenya walileta figisu ATCL , simu moja tu kutoka kwa January wakenya chali.
The guy is really presidential material.
Bosi, sasa hivi sisi kama chama tunataka kuunganisha watu ili Dkt Samia ashinde kwa kishindo. Hatuhitaji kiongozi nayegawa watu. Kauli kama hii inaakisi mabaya sana hata kwa Dkt Samia, mbona kila siku viongozi waandamizi wanaimba ngonjera za Dkt Samia kafanya hivi mara vile, ina maana yeye anapingana hata na Mwenyekiti wetu Dkt Samia. Yaani kwa ufupi Dkt Nchimbi kauli yake ni mbaya sana kwa ustawi wa Chama Chetu.Legacy imeguswa 🤣🤣,kwani amemtaja mtu?
So hapo amewagawaje? Si anamsifia Mwenyekiti au?Bosi, sasa hivi sisi kama chama tunataka kuunganisha watu ili Dkt Samia ashinde kwa kishindo. Hatuhitaji kiongozi nayegawa watu. Kauli kama hii inaakisi mabaya sana hata kwa Dkt Samia, mbona kila siku viongozi waandamizi wanaimba ngonjera za Dkt Samia kafanya hivi mara vile, ina maana yeye anapingana hata na Mwenyekiti wetu Dkt Samia. Yaani kwa ufupi Dkt Nchimbi kauli yake ni mbaya sana kwa ustawi wa Chama Chetu.
Hii nchi ni kubwa na ina matatizo mengi sana sugu na tupo nyuma sana, kama kweli kungekuwa na hiyo kasi katika kutatua matatizo ya hii nchi basi wengi tungeona na kukiri hilo wala usingehitajika kuposti picha za barabara,vitanda vya hospitali wala sijui visima vya maji.Serikali ya awamu ya 6 imefanya Kwa Kasi kubwa ndio maana inapewa credit au wewe unatakaje? Tumsifu Mwendazake au? 😆😆
Lakini si mnampiga vijembe marehemu kuwa alipenda sana sifa?Kinachokutesa wewe I kuona Samia anasifiwa.Haya baba Yako kafanya makubwa
Sifa zilizopitiliza kuliko uhalisia changanya na vitisho na upuuzi kama huo.Lakini si mnampiga vijembe marehemu kuwa alipenda sana sifa?
Hao hao wenzenu wa ccm ndio mlikuwa mnamsifia Magufuli hadi kumuita Mungu.Nchimbi aliwahi msifia lini? Utamsifia mtu hana akili?
Sawa walimsifia Kwa sababu walifanana akili.Hao hao wenzenu wa ccm ndio mlikuwa mnamsifia Magufuli hadi kumuita Mungu.
Msituchezee akili.
Samia mwenyewe alikuwa anamsifu Magufuli hadi anapiga magotiSawa walimsifia Kwa sababu walifanana akili.
Unamsifia mtu anapostahili na sio Kwa propaganda,vitisho ,kuweka ndani watu ,kupora pesa nk
Samia wa wapi huyo? Weka video tumuone amepiga magoti.Samia mwenyewe alikuwa anamsifu Magufuli hadi anapiga magoti