Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂

View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg

Nchimbi ameingia na mguu wa bahati mbaya, hakuwa na haja ya kusema eti
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁

Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂

Moja ya kauli mbovu kabisa toka kwa kiongozi mkuu mtendaji wa chama. Hakika sisi kama wanachama hatukutegemea aanze na kumsimanga marehemu Dkt Magufuli. Yaani Dkt Nchimbi kajiharibia sana, yaani badala ya kuiga ya Professor Makonda, yeye anaanza mtindo wa siasa za kugawa watu??????? Yaani this dude kwa weli naona kabisa hatudumu ktk hiyo nafasi. Nchimbi anafaa kuwa Makamu wa rais lakini siyo katibu mkuu.
 
Nchimbi ameingia na mguu wa bahati mbaya, hakuwa na haja ya kusema eti

Moja ya kauli mbovu kabisa toka kwa kiongozi mkuu mtendaji wa chama. Hakika sisi kama wanachama hatukutegemea aanze na kumsimanga marehemu Dkt Magufuli. Yaani Dkt Nchimbi kajiharibia sana, yaani badala ya kuiga ya Professor Makonda, yeye anaanza mtindo wa siasa za kugawa watu??????? Yaani this dude kwa weli naona kabisa hatudumu ktk hiyo nafasi. Nchimbi anafaa kuwa Makamu wa rais lakini siyo katibu mkuu.
Legacy imeguswa 🤣🤣,kwani amemtaja mtu?
 
Mpaka Sasa MTU anayestahili kusifiwa Ni ndugu January Makamba. Ndani ya muda mfupi dogo amefanya makubwa Sana TANESCO. Jana wenyewe mmeona wakenya walileta figisu ATCL , simu moja tu kutoka kwa January wakenya chali.
The guy is really presidential material.
 
Kwa hiyo unamsia Makamba ukamuacha Samia?
 
Legacy imeguswa 🤣🤣,kwani amemtaja mtu?
Bosi, sasa hivi sisi kama chama tunataka kuunganisha watu ili Dkt Samia ashinde kwa kishindo. Hatuhitaji kiongozi nayegawa watu. Kauli kama hii inaakisi mabaya sana hata kwa Dkt Samia, mbona kila siku viongozi waandamizi wanaimba ngonjera za Dkt Samia kafanya hivi mara vile, ina maana yeye anapingana hata na Mwenyekiti wetu Dkt Samia. Yaani kwa ufupi Dkt Nchimbi kauli yake ni mbaya sana kwa ustawi wa Chama Chetu.
 
So hapo amewagawaje? Si anamsifia Mwenyekiti au?
 
Serikali ya awamu ya 6 imefanya Kwa Kasi kubwa ndio maana inapewa credit au wewe unatakaje? Tumsifu Mwendazake au? 😆😆
Hii nchi ni kubwa na ina matatizo mengi sana sugu na tupo nyuma sana, kama kweli kungekuwa na hiyo kasi katika kutatua matatizo ya hii nchi basi wengi tungeona na kukiri hilo wala usingehitajika kuposti picha za barabara,vitanda vya hospitali wala sijui visima vya maji.
 
Samia mwenyewe alikuwa anamsifu Magufuli hadi anapiga magoti
Samia wa wapi huyo? Weka video tumuone amepiga magoti.

Mwisho kumsifu sawa ila sio kugeuka Muumba Pambio.Hata Dk.Mpango anamsifu Rais lakini sio sawa na Watendaji
 
Back
Top Bottom