Mpe somo huyu KobazKule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe somo huyu KobazKule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Na hivi Uteuzi umefanyikia nyumbani kwenu basi tutaziona rangi zote za kobazSamia wa wapi huyo? Weka video tumuone amepiga magoti
Samia alikuwa anamsujudia Magufuli huku kafumbata mikono kwa heshima na adabu.Samia wa wapi huyo? Weka video tumuone amepiga magoti.
Mwisho kumsifu sawa ila sio kugeuka Muumba Pambio.Hata Dk.Mpango anamsifu Rais lakini sio sawa na Watendaji
Na hivi Uteuzi umefanyikia nyumbani kwenu basi tutaziona rangi zote za kobaz
Mimi kwetu ni Njombe mambo ya kobazi wapi na wapi?Na hivi Uteuzi umefanyikia nyumbani kwenu basi tutaziona rangi zote za kobaz
Sifa zilizopitiliza kuliko uhalisia changanya na vitisho na upuuzi kama huo.
Kwa nini asisifiwe ikiwa Bajeti ya Mkoa ilikuwa Bil.6 na Sasa ni Bil.23 ndani ya miaka 3? Huoni Samia anastahili kusifiwa kuliko yule mwingine?
View: https://twitter.com/AtoshaSamia/status/1747192819536519411?t=28UEzPJUo9Ofq2hE7iUINg&s=19
Ndio maana wanasema hakuna rangi waliacha kuona Kwa yule mtu wa ajabu ajabu.Samia alikuwa anamsujudia Magufuli huku kafumbata mikono kwa heshima na adabu.
Ni hatari. Mwamba alikuwa anatisha asee.
Sasa hivi mnajifaragua tu, lakini ukweli ni kwamba wote mlikuwa mnaogopa na kutetemeka kwa hofu kuu.
Poleni sana.
Bado ana ajenda yake ya Lowassa. Nadhani pia hata mama ni team Liwassa ndio maana ameamua kuwavuta timu Lowassa kwenye uongozi wake. Makonda, Nchimbi na Sabaya wote mi timu Lowassa.Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Hata sasa unalazimika kusifu ili mambo yako yaende kinyume na hivyo usije ukapoteza kama Ndugai.Sawa walimsifia Kwa sababu walifanana akili.
Unamsifia mtu anapostahili na sio Kwa propaganda,vitisho ,kuweka ndani watu ,kupora pesa nk
Aliwakomesha mpaka mkawa mnamuabudu kama Mungu. 🤓Ndio maana wanasema hakuna rangi waliacha kuona Kwa yule mtu wa ajabu ajabu.
Kwanza Kila siku nawaambia humu kwamba Mimi sio mwanaccm Bali shabiki tuu wa Samia.Kama kuna watu walikuwa wanamsifia Magufuli kwa sifa zilizopitiliza zisizo halisi basi hao watu wao hawakuona hivyo kama ambavyo wewe sasa unafanya kwa Samia pia huwezi kuona ama kukubali kama sifa zimezidi kiasi unaweza kufikiri bongo kama ulaya ila kumbe bado tuna matatizo yetu sugu kama kawaida.
Mambo gani yangu yaende wakati hakuna anaenifahamu huko ccm? Kimsingi nafurahia Kwa kuturejeshea thamani ya Kilimo ,Mimi ni mkulima naona tofauti kutoka kukosa soko Hadi kupata soko zuri.Hata sasa unalazimika kusifu ili mambo yako yaende kinyume na hivyo usije ukapoteza kama Ndugai.
Labda aliwakomesha wale ambao kula kwao walitegemea Vyeo kutoka kwake ila Mimi nilikuwa namponda since day 1 Ofisini Hadi Baada ya Kufa hata Sasa.Aliwakomesha mpaka mkawa mnamuabudu kama Mungu. 🤓
Mkawa mnamsujudia na Kumuungamia. 🤓
Ujinga tuu,Lowasa mgonjwa huko pia Mama ni Rais aanze kumuwaza Lowasa? Ili kitokee nini?Bado ana ajenda yake ya Lowassa. Nadhani pia hata mama ni team Liwassa ndio maana ameamua kuwavuta timu Lowassa kwenye uongozi wake. Makonda, Nchimbi na Sabaya wote mi timu Lowassa.
Magufuli alikuwa anasifiwa hadharani na wana CCM wakiongozwa na Samia,Majaliwa,Mwigulu ! Sasa sijui ni mwana CCM gani hakumsifia Magufuli tunataka tumjue …Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Nchi hii kama angepewa fisadi papa lowassa kama alivyotaka nchimbi baada ya kugawa mabilioni ya fedha kwenye halimashauri kuu ya ccm sijui ingekuwa kwenye hali gani!Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Walikuwa wanatetetea ugali ila Kwa Kauli hizi wanathibitisha kwamba hawakumkubali tatizo ni njaa.Magufuli alikuwa anasifiwa hadharani na wana CCM wakiongozwa na Samia,Majaliwa,Mwigulu ! Sasa sijui ni mwana CCM gani hakumsifia Magufuli tunataka tumjue …
Wote mlikuwa mnasujudu kabisa mmeweka mikono mbele kabisa 😂😂😂😂😂
Hivi nchimbi nae si wale wale praise team maana hadi cheo alipewa akafichwa kule…
Yani CCM mnaomsifia Samia ndio hao hao mliomsifia Magufuli na wengine leo mnamsifia Samia mtakuja kumponda akija mwingine……
CCM mtaendelea kuvuna mlichopanda mlileta wenyewe akawanyoosha na Sasa mnataka kutushirikisha …
CCM wote ni walamba miguu ya maboss wao….huyu nchimbi aliufyata hadi tulisahau sauti yake hahahaha
Ingekuwa Bora kabisa,nyie maskini mna shida sana kichwaniNchi hii kama angepewa fisadi papa lowassa kama alivyotaka nchimbi baada ya kugawa mabilioni ya fedha kwenye halimashauri kuu ya ccm sijui ingekuwa kwenye hali gani!
Wewe utakuwa na uja uzito uliotelekezwa tunajijua sisi wanaume wa ccm makao makuu!Ingekuwa Bora kabisa,nyie maskini mna shida sana kichwani
Na sasa anatetea ugali sioWalikuwa wanatetetea ugali ila Kwa Kauli hizi wanathibitisha kwamba hawakumkubali tatizo ni njaa.
Wale mliopata mseleleko imewakat
Maskini mliokulia kwenye mavi ya Ng'ombe mna shida sana kichwaniWewe utakuwa na uja uzito uliotelekezwa tunajijua sisi wanaume wa ccm makao makuu!