Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia wa wapi huyo? Weka video tumuone amepiga magoti.

Mwisho kumsifu sawa ila sio kugeuka Muumba Pambio.Hata Dk.Mpango anamsifu Rais lakini sio sawa na Watendaji
Samia alikuwa anamsujudia Magufuli huku kafumbata mikono kwa heshima na adabu.

Ni hatari. Mwamba alikuwa anatisha asee.

Sasa hivi mnajifaragua tu, lakini ukweli ni kwamba wote mlikuwa mnaogopa na kutetemeka kwa hofu kuu.

Poleni sana.
 
Sifa zilizopitiliza kuliko uhalisia changanya na vitisho na upuuzi kama huo.

Kwa nini asisifiwe ikiwa Bajeti ya Mkoa ilikuwa Bil.6 na Sasa ni Bil.23 ndani ya miaka 3? Huoni Samia anastahili kusifiwa kuliko yule mwingine?

View: https://twitter.com/AtoshaSamia/status/1747192819536519411?t=28UEzPJUo9Ofq2hE7iUINg&s=19

Kama kuna watu walikuwa wanamsifia Magufuli kwa sifa zilizopitiliza zisizo halisi basi hao watu wao hawakuona hivyo kama ambavyo wewe sasa unafanya kwa Samia pia huwezi kuona ama kukubali kama sifa zimezidi kiasi unaweza kufikiri bongo kama ulaya ila kumbe bado tuna matatizo yetu sugu kama kawaida.
 
Samia alikuwa anamsujudia Magufuli huku kafumbata mikono kwa heshima na adabu.

Ni hatari. Mwamba alikuwa anatisha asee.

Sasa hivi mnajifaragua tu, lakini ukweli ni kwamba wote mlikuwa mnaogopa na kutetemeka kwa hofu kuu.

Poleni sana.
Ndio maana wanasema hakuna rangi waliacha kuona Kwa yule mtu wa ajabu ajabu.
 
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁

Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂

Bado ana ajenda yake ya Lowassa. Nadhani pia hata mama ni team Liwassa ndio maana ameamua kuwavuta timu Lowassa kwenye uongozi wake. Makonda, Nchimbi na Sabaya wote mi timu Lowassa.
 
Sawa walimsifia Kwa sababu walifanana akili.

Unamsifia mtu anapostahili na sio Kwa propaganda,vitisho ,kuweka ndani watu ,kupora pesa nk
Hata sasa unalazimika kusifu ili mambo yako yaende kinyume na hivyo usije ukapoteza kama Ndugai.
 
Kama kuna watu walikuwa wanamsifia Magufuli kwa sifa zilizopitiliza zisizo halisi basi hao watu wao hawakuona hivyo kama ambavyo wewe sasa unafanya kwa Samia pia huwezi kuona ama kukubali kama sifa zimezidi kiasi unaweza kufikiri bongo kama ulaya ila kumbe bado tuna matatizo yetu sugu kama kawaida.
Kwanza Kila siku nawaambia humu kwamba Mimi sio mwanaccm Bali shabiki tuu wa Samia.

Pili sijawahi sifia kitu ambacho Rais hajafanya Kwa sababu sitafuti nafasi Bali ni sehemu ya proudness of her leadership amewashinda Wanaume ambao Huwa wanajifanya Wana akili.

Mimi sio tuu nasifia Bali Huwa nakosoa inawezekana wewe hunifahamu.

Mwisho Kwa umri wangu Toka nimeanza kufuatilia siasa Rais pekee ambae anatambua shida za watu na namna ya kuzitatua ni Samia.

-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kumtua mama ndoo kichwani Kwa sababu anatambua adha ya Wanawake
-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kwenye Kilimo Kwa sababu anatambua kamba Asilimia 65% ya Watanzania ni wakulima na 90% ya Ajira zinatoka kwenye Kilimo.
-Samia ndio ametatua shida ya Barabara za Vijijini ndio maana husikii kelele ameongeza Bajeti mara 5
-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kwenye Afya ambako akina mama wenzie wanapata shida
-Samia ndio amelenga kuwainua wanawake kutoka kuzuiwa shida kisa mimba Hadi kuwarejesha shule na Kuwajengea shule maalumu za bwawni za Wanawake Nchi nzima nk

Kiufupi Samia anajua wapi Kuna shida na wapi aweke Nguvu,wale wengine walikuwa hawajitambui na wanatafuta vitu cheap Ili wapate sifa kama kujenga reli,ndege na madaraja makubwa hata kama Yana Tija ndogo Kwa watu.
 
Hata sasa unalazimika kusifu ili mambo yako yaende kinyume na hivyo usije ukapoteza kama Ndugai.
Mambo gani yangu yaende wakati hakuna anaenifahamu huko ccm? Kimsingi nafurahia Kwa kuturejeshea thamani ya Kilimo ,Mimi ni mkulima naona tofauti kutoka kukosa soko Hadi kupata soko zuri.
 
Aliwakomesha mpaka mkawa mnamuabudu kama Mungu. 🤓

Mkawa mnamsujudia na Kumuungamia. 🤓
Labda aliwakomesha wale ambao kula kwao walitegemea Vyeo kutoka kwake ila Mimi nilikuwa namponda since day 1 Ofisini Hadi Baada ya Kufa hata Sasa.

Sijawahi kubali sera zake za kijinga na ujamaa mbuzi.
 
Bado ana ajenda yake ya Lowassa. Nadhani pia hata mama ni team Liwassa ndio maana ameamua kuwavuta timu Lowassa kwenye uongozi wake. Makonda, Nchimbi na Sabaya wote mi timu Lowassa.
Ujinga tuu,Lowasa mgonjwa huko pia Mama ni Rais aanze kumuwaza Lowasa? Ili kitokee nini?
 
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁

Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂

Magufuli alikuwa anasifiwa hadharani na wana CCM wakiongozwa na Samia,Majaliwa,Mwigulu ! Sasa sijui ni mwana CCM gani hakumsifia Magufuli tunataka tumjue …
Wote mlikuwa mnasujudu kabisa mmeweka mikono mbele kabisa 😂😂😂😂😂
Hivi nchimbi nae si wale wale praise team maana hadi cheo alipewa akafichwa kule…
Yani CCM mnaomsifia Samia ndio hao hao mliomsifia Magufuli na wengine leo mnamsifia Samia mtakuja kumponda akija mwingine……
CCM mtaendelea kuvuna mlichopanda mlileta wenyewe akawanyoosha na Sasa mnataka kutushirikisha …
CCM wote ni walamba miguu ya maboss wao….huyu nchimbi aliufyata hadi tulisahau sauti yake hahahaha
 
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.

Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁

Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂

Nchi hii kama angepewa fisadi papa lowassa kama alivyotaka nchimbi baada ya kugawa mabilioni ya fedha kwenye halimashauri kuu ya ccm sijui ingekuwa kwenye hali gani!
 
Magufuli alikuwa anasifiwa hadharani na wana CCM wakiongozwa na Samia,Majaliwa,Mwigulu ! Sasa sijui ni mwana CCM gani hakumsifia Magufuli tunataka tumjue …
Wote mlikuwa mnasujudu kabisa mmeweka mikono mbele kabisa 😂😂😂😂😂
Hivi nchimbi nae si wale wale praise team maana hadi cheo alipewa akafichwa kule…
Yani CCM mnaomsifia Samia ndio hao hao mliomsifia Magufuli na wengine leo mnamsifia Samia mtakuja kumponda akija mwingine……
CCM mtaendelea kuvuna mlichopanda mlileta wenyewe akawanyoosha na Sasa mnataka kutushirikisha …
CCM wote ni walamba miguu ya maboss wao….huyu nchimbi aliufyata hadi tulisahau sauti yake hahahaha
Walikuwa wanatetetea ugali ila Kwa Kauli hizi wanathibitisha kwamba hawakumkubali tatizo ni njaa.

Wale mliopata mseleleko imewakata
-256382332.jpg
 
Nchi hii kama angepewa fisadi papa lowassa kama alivyotaka nchimbi baada ya kugawa mabilioni ya fedha kwenye halimashauri kuu ya ccm sijui ingekuwa kwenye hali gani!
Ingekuwa Bora kabisa,nyie maskini mna shida sana kichwani
 
Back
Top Bottom