ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #121
Samia ndio kamleta ,Ugali gani hapo?Na sasa anatetea ugali sio
Hahahahah😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ndio kamleta ,Ugali gani hapo?Na sasa anatetea ugali sio
Hahahahah😂😂😂😂
Wanajipunguzia credit kila wanapomnanga mwendazake !Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Duh 🙄Maskini mliokulia kwenye mavi ya Ng'ombe mna shida sana kichwani
Ukweli hauumi tu bali ukikaa vibaya unakufanya 'usahaulike'Mimi mwenyewe namuunga mkono, tungeona rangi zote na masimango juu!
Hakuna Cha credit ,mfu anakupaje wewe credit?Wanajipunguzia credit kila wanapomnanga mwendazake !
Makamba jembe wewe. Na dogo atakua mpangaji pale magogoni.Kwa hiyo unamsia Makamba ukamuacha Samia?
Huyu bwana kaingia na mkwara!Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
Mtajuana wenyewe ila Kwa Sasa Samia ndio Rais,mda wenu wa mapambio ya Makamba subirieniMakamba jembe wewe. Na dogo atakua mpangaji pale magogoni.
Jembe la kukata Umeme na kulipa pesa ya Symbion haraka haraka !Makamba jembe wewe. Na dogo atakua mpangaji pale magogoni.
Wasubiri 2030Mtajuana wenyewe ila Kwa Sasa Samia ndio Rais,mda wenu wa mapambio ya Makamba subirieni
Poleni sana.Labda aliwakomesha wale ambao kula kwao walitegemea Vyeo kutoka kwake ila Mimi nilikuwa namponda since day 1 Ofisini Hadi Baada ya Kufa hata Sasa.
Sijawahi kubali sera zake za kijinga na ujamaa mbuzi.
Ugua pole 🤪🤪,sisi kazi inaendelea 👇naona vita marehemu inaendelea.
Mwambieni Nchimbi, kwa maneno hayo tu hafai tena kuitwa Dr.. tutamuita kwa jina lake Emmanuel Nchimbi.
Tutampima na kuwapima kwa matokeo ya kazi yao na sio blah blah, vijembe na taarabu.
Asante na nyie poleni naona legacy inapopomonyolewa, marehemu haheshimiwi tena 🤣🤣Poleni sana.
Ushasema wewe ni shabiki wa Samia na hata huko kukosoa unakozungumzia huwa humkosoi Samia huwa unakosoa mambo ambayo hayamuhusishi Samia.Kwanza Kila siku nawaambia humu kwamba Mimi sio mwanaccm Bali shabiki tuu wa Samia.
Pili sijawahi sifia kitu ambacho Rais hajafanya Kwa sababu sitafuti nafasi Bali ni sehemu ya proudness of her leadership amewashinda Wanaume ambao Huwa wanajifanya Wana akili.
Mimi sio tuu nasifia Bali Huwa nakosoa inawezekana wewe hunifahamu.
Mwisho Kwa umri wangu Toka nimeanza kufuatilia siasa Rais pekee ambae anatambua shida za watu na namna ya kuzitatua ni Samia.
-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kumtua mama ndoo kichwani Kwa sababu anatambua adha ya Wanawake
-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kwenye Kilimo Kwa sababu anatambua kamba Asilimia 65% ya Watanzania ni wakulima na 90% ya Ajira zinatoka kwenye Kilimo.
-Samia ndio ametatua shida ya Barabara za Vijijini ndio maana husikii kelele ameongeza Bajeti mara 5
-Samia ndio ameweka Nguvu kubwa kwenye Afya ambako akina mama wenzie wanapata shida
-Samia ndio amelenga kuwainua wanawake kutoka kuzuiwa shida kisa mimba Hadi kuwarejesha shule na Kuwajengea shule maalumu za bwawni za Wanawake Nchi nzima nk
Kiufupi Samia anajua wapi Kuna shida na wapi aweke Nguvu,wale wengine walikuwa hawajitambui na wanatafuta vitu cheap Ili wapate sifa kama kujenga reli,ndege na madaraja makubwa hata kama Yana Tija ndogo Kwa watu.
Namba ndio zinaongea sio porojo zenuUshasema wewe ni shabiki wa Samia na hata huko kukosoa unakozungumzia huwa humkosoi Samia huwa unakosoa mambo ambayo hayamuhusishi Samia.
Hivyo unavyomuona wewe Samia kwamba ni bora na kafanya makubwa kuliko wote waliyomtangulia ni katika sehemu ya ushabiki wako kwake tu japo hilo wewe huwezi kuona au kukiri, kama ambavyo waliyomshabikia Magufuli na wapo mashabiki wa Kikwete na Mkapa hadi leo.
Kwangu mimi kumsifia kiongozi si tatizo ila inapofikia hali hadi ya kushindwa kumkosoa penye makosa au kutotaka akosolewe huo unakuwa ni upuuzi na bora anayefanya hivyo kimasilahi naweza kumuelewa kuliko anayefanya hivyo kiushabiki tu aweza kuwa hata ana matatizo ya akili.
Narudia tena mkuu kuwa hii nchi ni kubwa na ina matatizo sugu mengi tu, wewe kama shabiki wa Samia na sie tusio mashabiki lazima tutofautiane mitazamo. Wewe unamtazama Samia anayofanya na kupambwa nayo ndio maana hata serikali ikinunua madawati kwako ni jambo kubwa na sifa kwa Samia ila wengine tunatizama nchi kwa ujumla wake.Mambo gani yangu yaende wakati hakuna anaenifahamu huko ccm? Kimsingi nafurahia Kwa kuturejeshea thamani ya Kilimo ,Mimi ni mkulima naona tofauti kutoka kukosa soko Hadi kupata soko zuri.
Namba ndio zinaongea sio porojo zenu
View: https://www.instagram.com/p/C2QQGqssLrP/?igsh=MWZlYzllZW56YXdpbA==
Serikali zenu za 🌈 zilifanya yapi ya maana zaidi ya kusumbua awamu za Waislamu?Narudia tena mkuu kuwa hii nchi ni kubwa na ina matatizo sugu mengi tu, wewe kama shabiki wa Samia na sie tusio mashabiki lazima tutofautiane mitazamo. Wewe unamtazama Samia anayofanya na kupambwa nayo ndio maana hata serikali ikinunua madawati kwako ni jambo kubwa na sifa kwa Samia ila wengine tunatizama nchi kwa ujumla wake.
Majukumu ya kawaida ila Kwa Kasi kubwa kushinda zingine,that is the point.Kumbuka mkuu hiyo ni serikali na hayo majukumu yake ya kawaida tu na sio msaada wa Bakhresa au Mo hapo, sasa sijui cha ajabu unachotaka kutushangaza sisi ni kipi?