TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Pole sana Dada Bantu
 
Kwenye kitabu cha Mwanzo wakati Mungu anamlaani kaini kwa kumuua nduguye Abeli alisema hivi nanukuu 'Hutakuwa na kikao duniani' kwa lugha ya haraka manake hutadumu duniani haya ndio matokeo yake.
Mungu baba tusamehe waja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…