Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Pole sana Dada BantuKaka Faustine jamani, yaani huu msiba mwenzenu umenivuruga. Ni family friend. Nashindwa nampigia simu dada yake kumpa pole au naenda uwiii.
Hii familia wana roho nzuri, pamoja kuwa na pesa ila wana upendo sana. Vizuri havidumu 😭
Ulale mahala pema, peponi Kaka Faustine. Dah hee!!!